Maurice Moore
Senior Member
- Aug 22, 2018
- 189
- 309
Kweli kabisa mkuu,,,Huu ushauri wa bure hauna hata gharama!!Mkuu nadhani umehitimisha mjadala huu ndio ushauri wa kuchukua!
Tafadhali sana kama hujui vizuri mambo yanayohusiana na kununua na kuuza hisa usijiingize huko!! Mambo yanayohusu hisa yanahitaji utaalam.
Asante sana Mkuu kwa ku-appreciate mchango wangu wa mawazo. Ni kweli maneno ni jambo moja na vitendo ni lingine. Nitajitahidi niishi maneno yangu ili niwe miongoni mwa watu walio ukataa umasikini.Miksiolojisti, nawe sasa ukijapata mafao uje uitumie hiyo kanuni yako na usiishie kushauri tu.
Tatizo la washauri wengi huishia kutema madini tu, lakini mwenyewe ukimwangalia katia viraka ni hohehahe.
Mawazo yako mazuri nimeyapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF habari zenu,
Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.
Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.
Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
Ni profit cap ya asilimia ngapi per product/service do you consider recommendable ?FDs are currently at around 4-6% annually, hiyo 50m ukiiweka kwa rate ya 6% at the highest unapata 3m less 300,000 (10% WHT). Net ni 2,700,000 ambayo ni 225,000/- kwa mwezi.
Unaweza kufanya hiyo biashara?
Ni profit cap ya asilimia ngapi per product/service do you consider recommendable ?
Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua. Kipato cha TZS.11,700,000.00 ni sawa na kipato cha TZS.975,000.00 kwa Mwezi. Sasa katika hali ya kawaida fikiria ukijenga nyumba ya hadhi gani au nyumba ngapi unazoweza kupata pango la TZS. 975,000? na ukijenga ndani ya miaka 10-15 utalazimika kufanya ukarabati, pia unagharaza za kodi za serikali mbalimbali, kukosa mpangaji kwa muda etc. Kwenye Bondi hakuna kodi wala makato yeyote, hausumbui kichwa chako unasubiri riba na mwisho wa siku unarudishiwa na hela yako 90,000,000.00 pia ni risk free....
Akisema ajenge nyumba,atamaliza moja kwa m 50,ingine iishie kwenye lenta,harafu hiyo moja atapangisha kwa laki mbili tu kwa mwezi,fixed account au hiyo bonus account way to go
Hiyo milion nne ndo aifanyie biashara,usikute hajawi kufanya biashara halafu anataka aanze na mtaji mkubwa.Wana JF habari zenu,
Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.
Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.
Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
Nyie jamaa mna nadharia ambazo siyo halisi kabisa, hivi unapataje BOND BOT kwa 90m?
Acheni kuzungumza theories ambazo siyo practical.
Akinunua bonds hizo kwa mfano miaka 10 na akaanza kupokea hiyo TZS. 975,000/= kwa mwezi mwaka huu 2019 ina maana hata Desemba, 2029 atakuwa anapokea hiyo hiyo TZS. 975,000/= au uwa kuna ku review hiyo faida hapo katikati ya kipindi husika ili kwenda sambamba na mabadiliko ya thamani ya pesa?Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua. Kipato cha TZS.11,700,000.00 ni sawa na kipato cha TZS.975,000.00 kwa Mwezi. Sasa katika hali ya kawaida fikiria ukijenga nyumba ya hadhi gani au nyumba ngapi unazoweza kupata pango la TZS. 975,000? na ukijenga ndani ya miaka 10-15 utalazimika kufanya ukarabati, pia unagharaza za kodi za serikali mbalimbali, kukosa mpangaji kwa muda etc. Kwenye Bondi hakuna kodi wala makato yeyote, hausumbui kichwa chako unasubiri riba na mwisho wa siku unarudishiwa na hela yako 90,000,000.00 pia ni risk free....
Akinunua bonds hizo kwa mfano miaka 10 na akaanza kupokea hiyo TZS. 975,000/= kwa mwezi mwaka huu 2019 ina maana hata Desemba, 2029 atakuwa anapokea hiyo hiyo TZS. 975,000/= au uwa kuna ku review hiyo faida hapo katikati ya kipindi husika ili kwenda sambamba na mabadiliko ya thamani ya pesa?
ni chek nikupe mawazo mazuri
namshauri ahifadhi hela yake awe anakula taratibu kama hakuwahi kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya utumishi asijaribu sasa hiviWana JF habari zenu,
Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.
Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.
Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
undefinedndio mkuu,hasa hasa fani yangu ni kupaua,kama una mjengo njoo pm tuyajenge nikupaulieMkuu umeshawahi kujenga?
Ungesoma comments zangu zote, najua unachofikiri kuwa ni kila mwezi SI KWELI pesa inaingia katikati ya mwezi wa pili au hata inamaliza miezi miwili ndio iingie na kiwango cha kila mwezi ni hafifu mno kuliko cha miezi mitatu.