Mradi gani wa kiuchumi unaweza kuanzisha kwa kutumia fedha za mafao kiasi cha Tshs 90,000,000/-?

Tafadhali sana kama hujui vizuri mambo yanayohusiana na kununua na kuuza hisa usijiingize huko!! Mambo yanayohusu hisa yanahitaji utaalam.

Bulesi
Maelezo yangu ya awali, nilimwambia ni muhimu kuwasiliana na wataalamu wa fedha na uwekezaji. Ninaamini, kama ataamua kuwekeza kwenye masoko ya hisa/dhamana za serikali atawasiliana na wataalamu kupata taarifa zaidi.

Kufanya maamuzi sahihi kwenye biashara(mradi) yeyote ile, kunataka kupata taarifa sahihi na za kutosha.
 
Miksiolojisti, nawe sasa ukijapata mafao uje uitumie hiyo kanuni yako na usiishie kushauri tu.
Tatizo la washauri wengi huishia kutema madini tu, lakini mwenyewe ukimwangalia katia viraka ni hohehahe.
Mawazo yako mazuri nimeyapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Mkuu kwa ku-appreciate mchango wangu wa mawazo. Ni kweli maneno ni jambo moja na vitendo ni lingine. Nitajitahidi niishi maneno yangu ili niwe miongoni mwa watu walio ukataa umasikini.
 
Wana JF habari zenu,

Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.

Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.

Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.

Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua. Kipato cha TZS.11,700,000.00 ni sawa na kipato cha TZS.975,000.00 kwa Mwezi. Sasa katika hali ya kawaida fikiria ukijenga nyumba ya hadhi gani au nyumba ngapi unazoweza kupata pango la TZS. 975,000? na ukijenga ndani ya miaka 10-15 utalazimika kufanya ukarabati, pia unagharaza za kodi za serikali mbalimbali, kukosa mpangaji kwa muda etc. Kwenye Bondi hakuna kodi wala makato yeyote, hausumbui kichwa chako unasubiri riba na mwisho wa siku unarudishiwa na hela yako 90,000,000.00 pia ni risk free....
 
FDs are currently at around 4-6% annually, hiyo 50m ukiiweka kwa rate ya 6% at the highest unapata 3m less 300,000 (10% WHT). Net ni 2,700,000 ambayo ni 225,000/- kwa mwezi.

Unaweza kufanya hiyo biashara?
Ni profit cap ya asilimia ngapi per product/service do you consider recommendable ?
 
Ni case to case, na ukumbuke kuna time value of money. Hiyo 50m ambayo ni capital, in 5 years itakuwa na thamani ya chini sana.

Mfano mdogo tu, mtu akichukua hiyo 50 akanunua kiwanja kwa 15m, 35m inatosha kujenga family house unayoweza kupangisha kwa 250 kwa mwezi. Na at the same time in 5 years value ya property itakuwa imepanda.
 
Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua. Kipato cha TZS.11,700,000.00 ni sawa na kipato cha TZS.975,000.00 kwa Mwezi. Sasa katika hali ya kawaida fikiria ukijenga nyumba ya hadhi gani au nyumba ngapi unazoweza kupata pango la TZS. 975,000? na ukijenga ndani ya miaka 10-15 utalazimika kufanya ukarabati, pia unagharaza za kodi za serikali mbalimbali, kukosa mpangaji kwa muda etc. Kwenye Bondi hakuna kodi wala makato yeyote, hausumbui kichwa chako unasubiri riba na mwisho wa siku unarudishiwa na hela yako 90,000,000.00 pia ni risk free....

Nyie jamaa mna nadharia ambazo siyo halisi kabisa, hivi unapataje BOND BOT kwa 90m?

Acheni kuzungumza theories ambazo siyo practical.
 
Akisema ajenge nyumba,atamaliza moja kwa m 50,ingine iishie kwenye lenta,harafu hiyo moja atapangisha kwa laki mbili tu kwa mwezi,fixed account au hiyo bonus account way to go

Mkuu umeshawahi kujenga?
 
Wana JF habari zenu,

Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.

Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.

Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
Hiyo milion nne ndo aifanyie biashara,usikute hajawi kufanya biashara halafu anataka aanze na mtaji mkubwa.
 
Nyie jamaa mna nadharia ambazo siyo halisi kabisa, hivi unapataje BOND BOT kwa 90m?

Acheni kuzungumza theories ambazo siyo practical.

Ndugu, tulia ueleimishwe! BOT Bond zinaanzia 1million. Tembelea Broker yeyote atukupa mwongozo mzuri sana lina BOT wana invite public ili uweze na wewe kuchukua
 
Ndugu, kwa hali ilivyo nakushauri hela hiyo anunue BOND za serikali Benki Kuu. Achukue Bond ya miaka 10- 15 itampa faida ya 13% kwa mwaka. Hivyo kwa mwaka atapata 11,700,000.00 kama atachukua Bond ya 90,000,000.00.Atalipwa 11,700,000 kwa muda wa miaka 10 -15 kutegemea na bond mtakayochagua. Kipato cha TZS.11,700,000.00 ni sawa na kipato cha TZS.975,000.00 kwa Mwezi. Sasa katika hali ya kawaida fikiria ukijenga nyumba ya hadhi gani au nyumba ngapi unazoweza kupata pango la TZS. 975,000? na ukijenga ndani ya miaka 10-15 utalazimika kufanya ukarabati, pia unagharaza za kodi za serikali mbalimbali, kukosa mpangaji kwa muda etc. Kwenye Bondi hakuna kodi wala makato yeyote, hausumbui kichwa chako unasubiri riba na mwisho wa siku unarudishiwa na hela yako 90,000,000.00 pia ni risk free....
Akinunua bonds hizo kwa mfano miaka 10 na akaanza kupokea hiyo TZS. 975,000/= kwa mwezi mwaka huu 2019 ina maana hata Desemba, 2029 atakuwa anapokea hiyo hiyo TZS. 975,000/= au uwa kuna ku review hiyo faida hapo katikati ya kipindi husika ili kwenda sambamba na mabadiliko ya thamani ya pesa?
 
Amount inabaki hiyo hiyo uzuri wake ukiona haikulipi Bond unaiuza bond hiyo kwa faida mtu mwingine anaichukua. Isitoshe Bond inaweza kutumika kama dhamana wakati wowote
 
Wana JF habari zenu,

Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs. 94,000,000.

Fedha anayotegemea kuanzishia mradi ni tshs 90,000,000.

Nimeona ni vyema kuwashirikisha kupata mawazo mbadala, pkwa kuwa ninaamini baadhi yetu wazazi wetu walistaafu na kuanzisha miradi ambayo imekuwa imara na endelevu mpaka sasa.
namshauri ahifadhi hela yake awe anakula taratibu kama hakuwahi kujishughulisha na shughuli yoyote nje ya utumishi asijaribu sasa hivi
 
Jibu Analo Msitaaf Mwenyewe, Lilete Wazo Lake/pendekezo Tulifanyie Maboresho! Namna Litakavyofanikiwa, Hapa Kila Mmoja Anavaa Uhusika Nakutoa Mawazo Yake, Mama Sio Taburalasa ,ana Mawazo Mazuri Tu, Yalete Yajadiliwe ,
 
Mkuu usilolijua kweli ni sawa na usiku wa giza!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungesoma comments zangu zote, najua unachofikiri kuwa ni kila mwezi SI KWELI pesa inaingia katikati ya mwezi wa pili au hata inamaliza miezi miwili ndio iingie na kiwango cha kila mwezi ni hafifu mno kuliko cha miezi mitatu.
.
Mimi nina kaelimu kadogo cha uhasibu (sijabobea) na wafanyakazi wanaostaafu kwenye taasisi yetu (kwa eneo nililopo) cheque zao na hata taratibu za kuwalipa nusu mishahara ya waliokuwa wakilipwa nashughulikia mimi
 
Back
Top Bottom