Mradi Ng'ombe wa Asili

Mradi Ng'ombe wa Asili

Mim nlinunua 20 last year natarj kuuza mwez wa saba baada y hapo nahamisha mrad songea vijjin nishike por la Bei nafuu niingize mifugo weng sana
Mkuu naomba nishirikishe fursa hizi kama upo songea /njombe
 
Sahihi kabisa though kufuga ng'ombe wa kienyeji kwa project ya maziwa uwezi kutoka kirahisi awali ya yote kumbuka ng'ombe atazalisha lita mbili ambazo pia ndama anategemea kunyonya hapo hapo na ng'ombe wa kienyeji wanachukua mda mrefu kua matured hivo project itachukua mda mrefu kumpa faida issue za changamoto ya malisho pia utapapambanazo vipi kimsingi hapo mfugaji atafaidikiza kwenye issue ya disease resistant lakini kiuhalisia sio mradi wenye tija.
Ushauri wangu achukue ng'ombe wa maziwa tu ni heri kua na ng'ombe mmoja anaekupa lita 20 au 15 maziwa kuliko kua na ng'ombe 10 wanakupa same amount maana hao kumi watahitaji nguvu kazi kubwa chakula cha kutosha space n.k
Ni angalizo jema Mkuu; lakini ujue huyu jamaa kwa kufanya hivyo i.e. kununua ng'ombe wengi ana-spread risk kwani ikiwa ni ng'ombe mmoja akitetereka Afya(au kufa) ni mradi umeyumba 100%. Kumbe wakiwa ni wengi tuseme 10 na akafa mmoja ni 10% tu ya Mradi. Hivyo bado ataweza kuendelea na Tisa waliobaki na isiwe ni issue kubwa kwake.
Halafu ng'ombe wa maziwa anayetoa lita 20 anaweza kuwa ni Friesian au simental. Huyu Friesian anakula kg. 20 per day na maji 20- 30 Lts. Sasa sijui huyo ndugu Project yake amekusudia kuitekeleza katika maeneo gani ili asipate changamoto kubwa esp. wakati wa kiangazi.
Zaidi ni kwamba Ng'ombe wa maziwa hushambuliwa sana na magonjwa yaenezwayo na kupe esp.ECF.(Ndigana kali) na matibabu yake pia ni ghali.
Tena asipompata Mhudumu makini kwenye ukamuaji, Ng'ombe anaweza kupata tatizo la mastitis kitu ambacho kitayafanya maziwa yasifae kuliwa na binadamu au kupeleka kiwandani kusindikwa.
Ushauri wangu kwamba amwone Mtaalam ni kwa lengo la kupata ushauri ili aweze kuwa Focused - je, mwisho wa siku anataka maziwa au anataka nyama au anataka nyama na mziwa? Then ndo mambo mengine yatafuata.
 
Uzi mzuri sana, binafsi niko kwenye mpango wa kufanya project hiyo kabla huu mwaka haujaisha, nataka kufuga ng'ombe wa asili kwa ajili ya kuwaza pindi wakiwa wakubwa... natamani sana watu waendelee kuweka uzoefu wao hapa juu ya ufugaji wa ng'ombe na mimi niongeze maarifa
 
Jikite kwenye Unenepeshaji (Feedlot). Mzunguko wake ni miezi 6 - 8 tu.
 
Hii ndio deal la maana Mambo ya maziwa ni pasua kichwa nenepesha upge pesa,
Huku umasaini kipindi cha kiangazi/ukame (August - November) vile vidume vya ng'ombe (2-3 yrs. old) ambavyo ndo vinafaa sana kwa unenepeshaji, vinakuwa vimekonda sana na kwa hali hiyo bei yake ni chini sana 50,000/= - 80,000/=. Lakini baada ya miezi 6 chini ya uangalizi na ulishaji maalum i.e. hadi February - April bei yake ni 200,000 /= - 300,000/= 😂
 
Mwenzenu nafikiria kufunga kondoo Tu lakini kunenepesha ng'ombe NI kama kunanivutia. Wazoefu twambie kondoo Vs kunenepesha ng'ombe?
 
Mwenzenu nafikiria kufunga kondoo Tu lakini kunenepesha ng'ombe NI kama kunanivutia. Wazoefu twambie kondoo Vs kunenepesha ng'ombe?
Tofaut y ng'ombe na kondoo ni kwamb ng'ombe mmoja atazalisha faida kuanzia 250000-300000 kw muda wa miez minne wakat kondoo atakupa 20,000 hapo kajitahd sana
 
Mkuu hujanijibu quote yangu juu huko ... tafadhali
Tofaut y ng'ombe na kondoo ni kwamb ng'ombe mmoja atazalisha faida kuanzia 250000-300000 kw muda wa miez minne wakat kondoo atakupa 20,000 hapo kajitahd sana
 
Huku umasaini kipindi cha kiangazi/ukame (August - November) vile vidume vya ng'ombe (2-3 yrs. old) ambavyo ndo vinafaa sana kwa unenepeshaji, vinakuwa vimekonda sana na kwa hali hiyo bei yake ni chini sana 50,000/= - 80,000/=. Lakini baada ya miezi 6 chini ya uangalizi na ulishaji maalum i.e. hadi February - April bei yake ni 200,000 /= - 300,000/= 😂
Mkuu unaifanyia wapi hii project ....walau nipate kujifunza kitu ...
 
Unataka fursa gani huku Songea/Njombe?
kilimo (maharage, alizeti , kunde nk ) ,ununuaji na usafirishaji wa mazao kama maharage nk Inc upatikanaji ,gharama nk
Ufugaji kama aloongelea mleta mada (mbuzi na ng'ombe) Kwa maeneo ya vijijini ........... Bila kusahau masoko

Sio mbaya ukishusha Mondo mkuu na kuspecify vijiji hivyo ambavyo fursa zote kama hizo zinaweza patikana.....
 
Tofaut y ng'ombe na kondoo ni kwamb ng'ombe mmoja atazalisha faida kuanzia 250000-300000 kw muda wa miez minne wakat kondoo atakupa 20,000 hapo kajitahd sana
Nilinunua Hawa wachache mwez Dec mwaka jana 250000 kila mmoja saiv nitauza Kati ya laki 6 had 7

IMG_20220426_140812_119.jpg
 
Back
Top Bottom