......on the same note, na wewe anza kwanza na protected benefits (in numbers) za makubaliano ya sasa na Barrick.
FYI, tangu ban ya makinikia ilipoanza tumepoteza significant income kama nchi and there's absolutely no guarantee makubaliano ya sasa yanaweza kufidia hata nusu ya upotevu katika lifetime iliyobaki ya migodi ya Barrick.
tuache mihemuko ya ki MATAGA!
Djbout bandari yao inaweza pokea Meli kubwa? Umemuelewa Zitto kwamba Lamu itahudumia hadi south Africa? Kwani South Africa haina Bandari?
Inazungumziwa Bandari ya kuwezesha meli kubwa kutia nanda kitu ambacho hakipo kabisa kwenye bandari karibia zote za Africa
Mkuu tofautisha mkopo na uwekezaji. Hao walikopeshwa hivyo wanaweka assets kama collateral, sisi wanawekeza ila wanadai tu mazingira wezeshi ili huo mradu ufanikiwe. Sasa kivipi pesa yao wenyewe ikifeli tudaiwe sisi?? Mkuu ww huwa mtu makini usibebwe na propaganda za mitandaoni.Suala si kujenga tu bandari, bali masharti ya uwekezaji huo. Tusingekuwa makini tungeenda kama wenzetu wa Zambia na Sri Lanka walivyofikia. Walifurahia bandari, lakini kilichotokea ni majuto, hawakuweza kulipia deni na kilichotokea waChina ikabidi wachukue bandari kwa muda wa miaka 100. Yaani wachina wana maarifa kuliko wakoloni waliokutana na akina Chief Mangungo.
Mkuu tofautisha mkopo na uwekezaji. Hao walikopeshwa hivyo wanaweka assets kama collateral, sisi wanawekeza ila wanadai tu mazingira wezeshi ili huo mradu ufanikiwe. Sasa kivipi pesa yao wenyewe ikifeli tudaiwe sisi?? Mkuu ww huwa mtu makini usibebwe na propaganda za mitandaoni.
Mkuu na hapa ndio shida inapokuja tuna generalise issues...... Issue ya PFI unafahamu kabisa ikitokea deni limekuja basi hyo asset inachukuliwa na kuwa controlled na public sector ndio deni linaanza kulipwa hivyo ni straight swap sio deni ni la mwekezaji alafu wwe unalipa tu hupati kitu kama inavyotafsiriwa.Bro kuna kitu inaitwa PFI/PPP. Kwenye hili kuna mambo mengi yanahusika. Moja wapo muwekezaji atahitaji government guarantee kule atakapokopa pesa za kuwekeza ili kusudi mradi ikishindwa kufanya vizuri, basi serikali itakuwa inalipa deni as per amortization schedule.
Pia demand risk inakuwa shifted to the government. Katika maana ya kuwa meli na makasha (containers) yasipofikia lengo (target) basi nchi itajazia upungufu.
Kwa ufupi ni hayo.
Rejea Post # 14 ya uzi huu. Fungua hiyo clip na uitazame mwanzo mwisho. Kwa ufupi, hoja zako zote zimejibiwa kwenye clip hiyo.Moja ya mambo ambayo nimeandika hadi vidole vimegoma kuandika ni suala la bandari!!! Na eneo ambalo Magufuli nimeamini ni muongo wa kupindukia ni suala la Bandari ya Bagamoyo!!
Eti serikali haitapata chochote na mazuzu wanamshangilia!!!
Eti hata kodi hatutakusanya wakati duniani kote inafahamika kodi ni mali ya serikali!!!
Na kama alivyosema Zitto, hoja ya ardhi ni hoja ya kijinga!! Sheria ya ardhi inatamka wazi kwamba hati miliki inaweza kutolewa kwa miaka 33, au miaka 66 au 99!!!
Sasa mradi mkubwa kama wa bandari na economic zone hau-qualify hatimiliki ya miaka 99, ni mradi gani tena unaoweza ku-qualify?! Kama mradi mkubwa kama Bandari ya Bagamoyo stahili yake ni miaka 33, ni miradi ya aina gani tena itakayokuwa na sifa ya kuwa na hati miliki ya angalau miaka 66?!!
Ukweli ni kwamba, Magufuli anapenda sifa... angependa sana aonekane yeye ndie mwanzilishi wa ule mradi! Na hicho ndicho kinachomfanya akimbilie miradi mingi mikubwa ili apate hiyo status kwamba kama isingekuwa Magu, basi xyz usingekuwepo kama ambavyo amekuwa akitamba kwamba kama sisi yeye, ATCL isingekuwa na ndege!!!
Hiyo higher risk lazima uwe na strategic plan ya kui'manage'. Mtu anaulizwa strategic plan iko wapi anaangalia pua. Mtu huyu huwezi kuendelea kujadiliana naye hizo ' expected higher return projects'Golden rule is ''the higher the risk, the higher the returns''...... Tuepuke biasness
Mkuu na hapa ndio shida inapokuja tuna generalise issues...... Issue ya PFI unafahamu kabisa ikitokea deni limekuja basi hyo asset inachukuliwa na kuwa controlled na public sector ndio deni linaanza kulipwa hivyo ni straight swap sio deni ni la mwekezaji alafu wwe unalipa tu hupati kitu kama inavyotafsiriwa.
Then kwanini tukipiga hesabu za miradi tusiopenda tunaangalia Risk za kufeli.... Mfano sijawahi sikia mkisema SGR (ambayo mpaka sasa 80% imejengwa kwa mikopo) isipokuwa viable basi tutakuwa na deni la zaidi ya trillion 20 (Plus interest) hivyo mabeberu watapora treni zetu?? Sijasikia mkisema hayo.
Yaani kivipi mradi wa bagamoyo msiangalie positive side kuwa UKIFANIKIWA then tutakuwa na Balance of payment inayoeleweka pamoja na mamilioni kuingia kwenye mzunguko hivyo kuleta ajira na kukuza biashara za ndani!!
Hii bias huwa siitegemei kwenye mijadala ya kitaifa.... Ni vizuri tuangalie pande zote mbili mnapopinga uwekezaji sio kulalia tu upande mmoja. Ni sawa na wale wanaodai zanzibar ikijitenga ITAKUWA DOLA YA KIISLAM huku hawasemi faida za uchumi zitakuaje!!
NB: Negotiations zimewekwa ili kuclear sintofahmu zote.... Na ndio maana kama huridhiki una-counter offer na kuja na amendment zako wakikubali mnasonga mbele mkiwa mnajua jinsi ya ku-averse risk zinazoweza jitokeza.
Golden rule is ''the higher the risk, the higher the returns''...... Tuepuke biasness
Mkuu mbona sijasikia mkiongelea hizi risk kwa SGR ama Air Tanzania kwamba biashara ikifeli tutakosa pesa za kulipa madeni ya nje hivyo mabeberu watakamata ndege/ Reli yetu?? Why Bagamoyo ndio RISK inaongelewa!!Hiyo higher risk lazima uwe na strategic plan ya kui'manage'. Mtu anaulizwa strategic plan iko wapi anaangalia pua. Mtu huyu huwezi kuendelea kujadiliana naye hizo ' expected higher return projects'
Dah hapa ndo naamini watanzania tuna minyoo kichwani.
1. Hivi wachina wajenge afu wasilipe kodi hata cent lakini wawe huru kufanya biashara.
2. Wakae kwenye ardhi yetu miaka 99
3. Haturuhusiwi kuendeleza bandari yeyote zilizopo
4. Wasimamie wao for the whole period kweli. Ndugu zangu hawa hawa
Wanapinga miradi kama
1. Stiglers gorge
2. Reli
3. Ndege
I ambayo hii unakwenda kwa mwananchi wa kawaida moja kwa moja.
Sijui watanzania tunataka nini
Sisi hatukuwa tayari kupata uhuru au tunatakiwa kutawaliwa kidikteta for while hadi hadi tupate akili
Ficha japo hata kidogo tu aibu ya ujinga uliokujaa kichwani!Bandari ya Bagamoyo haijengwi kwa mkopo kama Sri-Lanka na Zambia. Hela zote za mradi wanatoa Uchina na Oman: hapa mnaogopa nini ???
Sasa mkuu kwa uzoefu wako uwe mkweli tu ni heri ya PFI au serikali ichukue mkopo directly ijenge bandari from the scratch?? Ipi ina RISK kubwa??Bro uzuri nimeshiriki negations nyingi za kuwakilisha nchi zingine.
Ukweli ni kuwa PPP ni nzuri sana iwapo parties zita balance their interest. Mara nyingi nchi za Afrika zimekuwa zinyonywa kwa kutokuwa na utaalam, uweledi na uzoefu.
PPP ni nzuri sana, kwani ina kitu kinaitwa cash motivation. Katika maana ya kuwa, serikali haina haja ya kutenga pesa kwenye budget ili kutekeleza mradi, kama ilivyo kwenye conventional procurement. Private party anatafuta pesa za mradi.
Lingine ni innovation. Private sector wako vizuri kwa hili.
Pia kuna concept of value for money. Private sector wakisimamiwa vizuri wanatoa kitu chenye ubora.
Uzuri mwingine ni kupunguza urasimu. Private sectors hawahitaji approvals na vikao vingi ili kufanyika mabadiriko. Wako more flexible than the public sector.
Mbali na hizi faida, kama nilivyosema, umakini unahitajika sana. Hususan ni hii miradi tunayotaka kuitekeleza bila kuwa na upembuzi yakinifu, iwe kwa sababu hatuna fedha ya hiyo kazi, au utaalam hatuna (lacking technical capacity).
Nachelea kusema, miradi ni mizuri, but we need to be keen. Due diligence is of utmost important.
Mkuu ww naona ndio utakuwa mmoja ya wenye minyoo...Dah hapa ndo naamini watanzania tuna minyoo kichwani.
1. Hivi wachina wajenge afu wasilipe kodi hata cent lakini wawe huru kufanya biashara.
2. Wakae kwenye ardhi yetu miaka 99
3. Haturuhusiwi kuendeleza bandari yeyote zilizopo
4. Wasimamie wao for the whole period kweli. Ndugu zangu hawa hawa
Wanapinga miradi kama
1. Stiglers gorge
2. Reli
3. Ndege
I ambayo hii unakwenda kwa mwananchi wa kawaida moja kwa moja.
Sijui watanzania tunataka nini
Sisi hatukuwa tayari kupata uhuru au tunatakiwa kutawaliwa kidikteta for while hadi hadi tupate akili
Sawa mkuu nimekuelewa. Nadhani uzi huu uendelee na nondo nyingine zaidi kama; Expected return from Investment ya Bagamoyo port ili tujue tungeanza kuneemeka baada ya miaka mingapi ya uwekezaji.
Pia Sikubaliani sana na wewe kwenye suala zima la kuamini kuwa uamuzi wa kusitisha Bagamoyo Economic zone ni uamuzi wa Rais peke yake. Bila shaka majasusi wa kiuchumi waliokuwa kazini kabla ya kusaini mkataba huu ndio chanzo cha kuukataa.
China ni rafiki yetu hilo sikatai, lakini China wa enzi za baba wa taifa (Socialist China) sio huyu China wa sasa (capitalist China).
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia zoteHamna majasusi wa kiuchumi hapa Tanzania, bali kuna kikundi cha wanaccm waliopo kwenye ulaji, na ujasusi wao mkubwa ni kufanyia wapinzani na wakosoaji wengine wa serekali ukatili ili serikali isihojiwe chochote.
Majasusi wetu huwa wanaanza kwa kuangalia hoja ya nani, kama ya Zitto wamemaliza ujasusi wao hapo hapo.Hamna majasusi wa kiuchumi hapa Tanzania, bali kuna kikundi cha wanaccm waliopo kwenye ulaji, na ujasusi wao mkubwa ni kufanyia wapinzani na wakosoaji wengine wa serekali ukatili ili serikali isihojiwe chochote.