Nimekuelewa vizuri sana, moja ya sentensi yako ni hii hapa:-
Hata kama unakataa, inaonesha wazi kwamba umechanganya suala la miaka 99 ya land lease na project transfer period!! Ni kutokan na ukweli huo, ndio maana hata mwanzoni tu mwa post yakom ulisema kitu sawa na hicho kwamba,:-
Kwanza ulitolea mfano wa Dangote na nikakuambia kwanini ulinganishe mradi wa Dangote na wa bandari ambayo ni completely tofauti!
Pili, nimekuambia sheria za Tanzania zinatoa land lease kwa miaka 33, 66 au 99 kwa miongo na miongo! Utakuwa unajidanganya sana kama unadhani hiyo sheria ya lease ya miaka 99 haijawahi kutumika!!! FYI, kuna makumi kwa makumi ya land leases zilizotolewa kwa miaka 99!
That's one but two, kama sheria imeweka land lease ya miaka 33 (renewable), 66 (renewable) na 99, unadhani ni miradi ya aina gani inaweza kuwa na land lease ya miaka 99?!
World Bank wanatuambia:-
Investopedia nao wanaeleza:-Hayo ni maelezo ya theory, sasa tuangalie watu walioingia field.
Tafuta mwenyewe paper(Case Study) ya Prof. Spiro N. Pollalis na Prof. Drs. Ir. Sebastiaan C.M. Menheere ambayo sehemu ya paper hiyo inasemaAnother practical example, fanya assignment mwenyewe kufahamu Mradi wa
Daraja la Worli-Haji Ali ambayo moja ya maelezo yake yanasema:-Chige nae, kwenye moja ya post akaongea:-Sasa ukiangalai maelezo yangu kuhusu transfer period yanaakisi kile kile kichosemwa na hizo sources zingine!!
And FYI, nimefanya "personal" surveys nyingi sana kuhusu BOT pamoja na kuwa Mbeba Mikoba wa Beberu aliyekuwa anafanya research kuhusu BRI huku one of the case study ikiwa Bagamoyo Port Project!
Nimepitia miradi mingi sana ya BOT iliyofanyika The Philippines, Canada na Australia. Huko kote sijakutana na mradi mkubwa kama wa Bandari ya Bagamoyo huku ukizingatia kwamba, hizi theory kwamba transfer inachukua miaka X to Y, reference kubwa ni kupitia miradi ambayo haifiki hata USD 5 Billion!
Lakini hata ukitumia common sense tu, USD 10 Billion ni zaidi ya Sh 20 Trillion! Ukisema kwa mwaka mradi unaingiza faida ya wastani wa Sh. 500 Billion, hiyo Trillion 20 inarudi baada ya miaka 40!! Hili la kodi nimelisema mara nyingi sana kwamba wherever you go, TAX ni mali ya serikali. Tofauti inayoweza kuwepo kwenye suala la kodi ni tofauti ile ile iliyoeleka! Kwa mfano, investor kuomba tax holiday, kuomba waiver kwenye import tax especially ya construction materials n,k but generally, kodi haitaenda kwa mwekezaji bali kwa serikali!
Kwangu mimi haya mambo ya kodi na mapato mengine ndiyo ya msingi zaidi kujadili kuliko suala la ardhi! Na lingine muhimu zaidi ni namna gani Investor atahahakisha ana-maintain ubora wa bandari to the point of transfer.
No Hurry in Africa sio?! Mwaka wa 4 huu unaishia halafu unaamini "negotiation tactic" huku Mkurugenzi wa TPA ameshasema "...tunataka xyz, wakitaka waje, na wasipotaka wasepe!" Yaani anaongea as if Africa mzima wenye bahari ni Tanzania peke yake!!
Btw, hizo tactics ni kama zile dhidi ya Acacia, au?! Pale tumeona hiyo "negotiation tactic" ambayo hapo kabla tuliambiwa tunadai matrilion kwa matrilion, lakini tunaishia kuahidiwa 700 Billion tena itakayolipwa kwa mafungu na masharti kibao... kama vile LAZIMA turuhusu makinikia isafirishwe ndipo walipe!!!
Sio suala la negotiation tactics tena bali ni suala la mikataba ya kimataifa sio?!
Sasa ni suala la kumlaumu mwekezaji hilo?! Na nyie sina wasomi wenu?! Waambieni tu na wao waende na hesabu (projections) zao mezani ili mradi tu wasitutie ile aibu ya kwamba kwa mwaka watakuwa wanaingia Trilioni 500!!!
Kwani kuna fixed tax ambayo kampuni inatakiwa kulipa au analipa kutokana na mwenendo wa biashara?! Kwani hata akiingiza sh. 1000, hujui kwamba hata Sh 1000 inaweza kukatwa kodi?!
Umerudia tena suala la miaka 99! Hivi kuna mkataba ambao hauzingatii mambo kama hayo?! Au ndo yale yale kwamba Wachina wanataka special treatment linapokuja suala 99 years land lease wakati ni jambo la kawaida sana hilo, tena kwa miradi isiyo na kichwa wala miguu!!
Hilo la kuzuia kuendeleza bandari zingine, nimewauliza hapa hizo bandari ni zipi, hakuna hata mmoja anayetaja... kuonesha mnafanya assumption!!!
Tunaenda mwaka wa 5 sasa, sema wewe ni mambo yapi ya msingi ambayo serikali imefanya?!
Btw, hivi kati yangu na wewe ni nani mwenye hoja za kitoto?! Wakati mimi nakuwekea facts, wewe maelezo yako A to Z yamejaa dhahania ikionesha wazi kwamba wala huna uelewa wowote wa mradi wenyewe!!!
All in all, siwezi kukushangaa! post yangu ya awali ina maneno yasiyofika hata 1000 lakini umelalamika kwamba eti ni ndefu... hivi unaweza kukaa na kusoma studies mbalimbali wewe ambazo nyingi zinaenda 100+ pages?!!