Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali teteNadhani tech atapata kutoka Russia, sasa shughuli itakuwa kwa France, tech yake atafanyia nini.
Inawezekana,lkn je mbona hawajanunua Hadi Leo tangubkuoata uhuru?Kwan haiwezekan kununua hiyo tech? Nauliza kuelimishwa
Wacha wafe Kwa baridiEU inanishangaza,huna plani halafu unasusia gesi ya Urusi.
Vamos Mother RussiaMwamba Yevgeny Prigozhin ameisha chukua tender.
/twitter.com/jcokechukwu/status/1687784019209912320/video/1
Sasa kwanini wasiweke kipengele cha kubadilishana teknolojia kwa uranium ili waweze kupata umeme wa uhakika!!Technology ya kuzalisha umeme wa nuklia ndio shida.
Niger ina urani lkn haina tech,
France Wana tech lkn hawana urani.
Sio nguo Ile useme unaazima mkuuSasa ndo tuingie kuzalisha kwa kutumia kwa kuazima au kununua watalaam toka Urusi.
uko sawa, ni lugha tu mkuu. Lengo ni kuwa na umeme wao wa uhakika zaidi. Sasa unauza uranium ili mnunuzi azalishe umeme na wewe unanunua umeme kwa jirani, inafikirisha sana hii.Sio nguo Ile useme unaazima mkuu
Sio wa kwetu wanavizia wakosoaji kwenye mikutano ya wapinzani[emoji28]Ila mashirika ya kijasusi ya wenzetu yapo vizuri kwenye kunusa deal zitakazoathiri uchumi wao
Waafrika Ni Kama vile tumelaaniwa[emoji26]Niger Wana uranium ambayo inategemewa na ufaransa kuzalisha umeme wakati Niger yenyewe inategemewa umeme Toka Nigeria
Wapo sensitive na mambo ya siasa za majitaka lakini mambo ya uchumi hawana muda nayo tungekua vzr kariakoo tu ingekua na uwezo mkubwa wa kuchangia sehem kubwa sana ya budgetSio wa kwetu wanavizia wakosoaji kwenye mikutano ya wapinzani[emoji28]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa hadi huruma.Daa.. aisee hili bonge la muvi. Ila siasa za Ufaransa kwa waafrika magharibi ni mbaya sana; wamewanyonya sana waafrika kupitia ile mikataba yao ya benefits of colonization. This has to come to an end now… enough is enough
Mwafrika anakaa upande wa wazungu kumpiga mwafrika mwenzake, ili kulinda maslahi, ya mzungu!! Kwa hz, habari, Nyerere, Mandela, Kwameh Nkrumah, watakuwa wanapinduka pinduka huko kaburini kwa uchungu na hasiraWachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.
Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya na Marekani wanaingalia Niger kama mpango muhimu kwasababu zifuatazo.
1. Mara baada ya kulipuliwa kwa Nord Stream 1, 2 ambazo zikisambaza gas toka Urusi kwenda Ulaya kupitia Ujeruman, nchi za Ulaya zilianza kuangazisha mpango mwingine wa kupata Gas ili waachane na mashinikizo ya Putin na Urusi yake, haikuwa rahisi ila iliwalazimu kufanya hivo kwa kuunda plane B ambayo ni kutoa Gas toka Nigeria Km 1,037 kupitia Niger Km 847l1 na kisha litaingia Algeria Km 2,310.
View attachment 2709062
2. Ulaya hawana Option nyingine ya kupitisha bomba la Gas kutokana na raman ya eneo husika kwani kwa upande wa kushoto ni ngumu sana kuikwepa Bukina Faso ambayo pia ilishampindua Rais wake na Mkuu wa nchi kwasasa ni mshirika wa karibu wa Rais Putin, ila pia huwezi kuikwepa nchi ya Mali ambayo pia ilishampindua Rais wake na Jeshi likashika nchi.
Upande wa kulia kuna Chad ambayo tayari mapinduzi ya kijeshi na kuna Rais wa mpito, lakini juu ya Chad hapo kuna nchi ya Libya ambayo aoao NATO walienda kufanya uhalifu wa kivita.
View attachment 2709106
Ulaya watapata wapi Gas ikiwa Niger wataenda kuivamia? Watakubaliana na masharti ya Urusi?
Africa tuko tayari kujisaliti kwaajili ya maslah ya Ulaya?
Nigeria italazimika kuingiza jeshi ilimradi aweze kuuza Gas yake ulaya ajikomboe kiuchumi?
Na kuna mazwazwa humu yalikua yanaunga mkono sijui haki za mazingirawazungu walivyo wapumbavu, mbomba hili hawasemi kitu ila la uganda kupitia tz wanasema linaharibu mazingirak wasababu wanajua linaenda kulisha china na india.