Mradi wa Bomba la Ges toka Nigeria- Ulaya unaenda kuikosti Niger?

Mradi wa Bomba la Ges toka Nigeria- Ulaya unaenda kuikosti Niger?

Na sisi tumejaa ujinga, kwani Lazima kila tunachokifanya tupate kibali za mzungu ?
Tunakuwa kama mafala bwana
Yeah
Inakera Sana ,halafu tulivyo mafala tunakomoana wenyewe Kwa wenyewe
Mfano hili Suala la uharibifu wa mazingira , wakenya walikua wanalishupalia ,ila huwezi kusikia Wajerumani au Waitaliano wakiwasagia kunguni ufaransa au uingereza
 
Na kuna mazwazwa humu yalikua yanaunga mkono sijui haki za mazingira
Bullshit
hata bwawa la umeme la Mwl Nyerere, wazungu walisema tunaharibu mazalia ya samaki kamba, Januari na wenzake wengi tu waliunga mkono, bila magufuli lile bwawa tusingekuja kulijenga. kwenye hili bomba la total, wameandamana hadi kwenye mabunge yao ati tunavunja haki za binadamu kwasababu hatulipi watu fidia, kumbe hawajui kama tz ardhi ni mali ya umma na fidia watu walishapewa, na wakasema tunahatarisha mazingira. wakati hapohapo tangu enzi kuna bwawa la mafuta toka DSM hadi zambia, halijawahi kuleta hitilafu tangu miaka ya sabini hadi kesho. mzungu huwa hapendi mwafrika afanikiwe.
 
Back
Top Bottom