joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine hujamuelewa joto anasema technology ya kuigeuza gas kuwa liquified ndo hamna Afrika nzima na co habari za mitungi.Wadau, Kenya tuna kampuni inayotengeneza mitungi na kuyajaza. Kwa hivyo hio kauli ya joto la jiwe kuwa Afrika kila nchi inaimport mitungi ya gesi sio kweli.
cc Geza Ulole
">July 22, 2020
Pengine hujamuelewa joto anasema technology ya kuigeuza gas kuwa liquified ndo hamna Afrika nzima na co habari za mitungi.
Jana Geza alikushambulia kwa maneno makali, nikawa ninakusikitikia, kumbe hakufanya makosa, uwezo wako wa akili ni mdogo sana.Wadau, Kenya tuna kampuni inayotengeneza mitungi na kuyajaza. Kwa hivyo hio kauli ya joto la jiwe kuwa Afrika kila nchi inaimport mitungi ya gesi sio kweli.
cc Geza Ulole
">July 22, 2020
Amenishangaza sn [emoji3][emoji3][emoji3]Jana Geza alikushambulia kwa maneno makali, nikawa ninakusikitikia, kumbe hakufanya makosa, uwezo wako wa akili ni mdogo sana.
Yaani unasikitisha na kuwadhalilisha wakenya wenzako hapa JF. Sisi tunazungumzi kiwanda cha kugeuza gas kuwa katika " Liquid form" , wewe unazungumzia kiwanda cha kutengeneza mitungi ya gas, tukisema wakenya hamna akili mnalalamika [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe Geza si ulisema umefunga mjadala[emoji23][emoji23], huna lolote unalojua katika hili eneo zaidi ya kubisha bila facts zozote zile. Kuna uhusiano gani kati ya aina ya gas inayopatikana na jinsi ya kuisafirisha?.Usianze kumtetea alisema pia gesi yetu ya Mtwara haiuzwi kwa sababu hamna hiyo technology ya ku-liquefy yaani LNG plant ndo nikaingilia kati kumuelimisha kuwa gasi yetu ipo sokoni na hatuhitaji LNG plant kuitumia.
Kiufupi hakuwa anajua LNG plant ni kwa ajili ya nn alikuwa anachanganya natural gas yetu ambayo ni methane na pia in CNG form na ile ya LPG ambayo ni butane na propane ambayo hatuna na tuna-import!
Tatizo huyo jamaa yako ni mbishi halafu ana uongouongo wa ujuaji! Si kitu kizuri kwenye majadiliano ya staha yenye kutaka hoja kuntu! Hamna mtu anayejua kila kitu!
Huyu jamaa ndio mkenya pekee ambaye yupo katika level yetu katika kujadili mambo, ila ninaanza kuogopa kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda, tutajadili na mkenya gani tukimpoteza huyu jamaa?Amenishangaza sn [emoji3][emoji3][emoji3]
wacha ku-incite Tony254 wewe! sina ugomvi na mtu!Jana Geza alikushambulia kwa maneno makali, nikawa ninakusikitikia, kumbe hakufanya makosa, uwezo wako wa akili ni mdogo sana.
Yaani unasikitisha na kuwadhalilisha wakenya wenzako hapa JF. Sisi tunazungumzi kiwanda cha kugeuza gas kuwa katika " Liquid form" , wewe unazungumzia kiwanda cha kutengeneza mitungi ya gas, tukisema wakenya hamna akili mnalalamika [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe Geza si ulisema umefunga mjadala[emoji23][emoji23], huna lolote unalojua katika hili eneo zaidi ya kubisha bila facts zozote zile. Kuna uhusiano gani kati ya aina ya gas inayopatikana na jinsi ya kuisafirisha?.
Gas ni gas tu, iwe ni Methane, Ethane. propane au Butane, haibadilishi chochote katika kuisafirisha kwake, zote zinasafirisha kwenda kwa mteja kwa njia au ya bomba (CNG), au ikiwa ndani ya Containers (LNG) kama huko inakokwenda kutumika ni mbali.
Sasa hivi tunataka kujenga kiwanda cha kuigeuza hiyo gas yetu ambayo wewe unasema ni Methane (CH4) ili iwe LGN kwa ajili yakupelekwa katika masoko ya Nje, vipi unasema Methane haiwezi kuwa katika form ya LNG, sasa hicho kiwanda kinataka kujengwa kwa ajilli gani?.
Geza huna hoja katika hili, unabahatisha sana wakati mwengine, wacha kulazimisha mambo kama huna uhakika, katika hili unachemka hadharani na watu wanakushangaa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Yah kwa jinc tunapoelekea na kasi tuliyonayo huyu naye tunakwenda kumpoteza cz con upinzani tena may be expressway ikiisha ndio watarudi mana hawana cha kutuonesha washamaliza vyote wkt cc kila siku misumari inaibuka tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyu jamaa ndio mkenya pekee ambaye yupo katika level yetu katika kujadili mambo, ila ninaanza kuogopa kwa jinsi siku zinavyozidi kwenda, tutajadili na mkenya gani tukimpoteza huyu jamaa?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe Geza si ulisema umefunga mjadala[emoji23][emoji23], huna lolote unalojua katika hili eneo zaidi ya kubisha bila facts zozote zile. Kuna uhusiano gani kati ya aina ya gas inayopatikana na jinsi ya kuisafirisha?.
Gas ni gas tu, iwe ni Methane, Ethane. propane au Butane, haibadilishi chochote katika kuisafirisha kwake, zote zinasafirisha kwenda kwa mteja kwa njia au ya bomba (CNG), au ikiwa ndani ya Containers (LNG) kama huko inakokwenda kutumika ni mbali.
Sasa hivi tunataka kujenga kiwanda cha kuigeuza hiyo gas yetu ambayo wewe unasema ni Methane (CH4) ili iwe LGN kwa ajili yakupelekwa katika masoko ya Nje, vipi unasema Methane haiwezi kuwa katika form ya LNG, sasa hicho kiwanda kinataka kujengwa kwa ajilli gani?.
Geza huna hoja katika hili, unabahatisha sana wakati mwengine, wacha kulazimisha mambo kama huna uhakika, katika hili unachemka hadharani na watu wanakushangaa.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Huu mjadala ufungwe rasmi cz tayari tumepata darasa la kutosha, binafsi kuna vitu nilikuwa sivifahamu kuhusu CNG and LNG but kupitia nyie nimeelewa, so pongezi kwenu wakuu [emoji122][emoji122]On serious note una matatizo na uzuri watu wanapita kuona ulichokuwa unabisha na ukigeugeu na uzabazabina wako! haikai vizuri, mwanaume timamu lazma awe na msimamo yaani stand na akieleweshwa akubali asichojua!
Ninarudia tena, Tony 254 aliuliza hii gas iliopo katika mitungi tunayopikia (LNG) inatoka Tanzania?, nikamjibu kwamba ukiona mtungi wowote wenye LNG ujue iyo gas imetoka nje kwasababu Africa nzima hakuna kiwanda cha LNG, wewe kwa kutojua kwako ukadhani gas inayosambazwa na TPDC ni LNG, tena ukasema kwamba viwanda vya Songosong vinaigeuza kuwa LNG kabla ya kuisafirisha katika bomba, aibu gani hii unayoipata kwa kuzungumza uongo kwa sababu tu hutaki kujifunza.Usianze kumtetea alisema pia gesi yetu ya Mtwara haiuzwi kwa sababu hamna hiyo technology ya ku-liquefy yaani LNG plant ndo nikaingilia kati kumuelimisha kuwa gasi yetu ipo sokoni na hatuhitaji LNG plant kuitumia.
Kiufupi hakuwa anajua LNG plant ni kwa ajili ya nn alikuwa anachanganya natural gas yetu ambayo ni methane na pia in CNG form na ile ya LPG ambayo ni butane na propane ambayo hatuna na tuna-import!
Tatizo huyo jamaa yako ni mbishi halafu ana uongouongo wa ujuaji! Si kitu kizuri kwenye majadiliano ya staha yenye kutaka hoja kuntu! Hamna mtu anayejua kila kitu!
Huu mjadala ufungwe rasmi cz tayari tumepata darasa la kutosha, binafsi kuna vitu nilikuwa sivifahamu kuhusu CNG and LNG but kupitia nyie nimeelewa, so pongezi kwenu wakuu [emoji122][emoji122]
joto la jiwe Geza Ulole tumewaelewa funga huu mjadala.
Huna lolote, uwe unakubali kujifunza vitu usivyovijua, Hakuna binadamu anajua kila kitu hapa duniani.On serious note una matatizo na uzuri watu wanapita kuona ulichokuwa unabisha na ukigeugeu na uzabazabina wako! haikai vizuri, mwanaume timamu lazma awe na msimamo yaani stand na akieleweshwa akubali asichojua!
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Aya geza umeshinda kaka... Mjadala uishe jamani kaajoto la jiwe count likes kuona nani mshindi! [emoji3577]
Ulishafunga mjadala na mimi nikakushukuru kwa kufunga mjadala, ghafla umerudi kwa nguvu zote, sijui kitu gani kilikurudisha[emoji23][emoji23]joto la jiwe count likes kuona nani mshindi! [emoji3577]
Ninarudia tena, Tony 254 aliuliza hii gas iliopo katika mitungi tunayopikia (LNG) inatoka Tanzania?, nikamjibu kwamba ukiona mtungi wowote wenye LNG ujue iyo gas imetoka nje kwasababu Africa nzima hakuna kiwanda cha LNG, wewe kwa kutojua kwako ukadhani gas inayosambazwa na TPDC ni LNG, tena ukasema kwamba viwanda vya Songosong vinaigeuza kuwa LNG kabla ya kuisafirisha katika bomba, aibu gani hii unayoipata kwa kuzungumza uongo kwa sababu tu hutaki kujifunza.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app