Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Unamaanisha nini kwa kusema "still not our money"? Kwani hio loan tutailipa kwa kutumia pesa yako? Mzee wewe umepungukiwa mahali. Wacha debate iishe. Sitajadili na mtu mwenye IQ ya kuku.
Sawa. Nyie nanyi mnajenga Sgr phase 2 kwa kutumia mkopo kutoka Standard Chartered bank. Kwa hivyo niko sahihi nikisema kuwa hamtumii pesa yenu kujenga Sgr yenu phase 2?wewe unalalamika nn? kwavile nimeku-expose uwongo wa kudai mnajenga TL na pesa yenu sio? Ohk samahani!
Sasa nimeanza kuelewa kwanini unakua mkali ninaposema kwamba hili bwawa halitozalisha umeme, kumbe upo na " interest", [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeshakueleza kuwa sitadebate na wewe kuhusu Gerd. Wacha tungoje
Hv majaribio ya huu mradi kule kusini yanaendeleaje?Kaka tofautisha mamba mawili katika biashara ya gesi
1)Compressed gas = Hii ni lazima ujenge kiwanda kwa ajili ya kuigeuza iwe kwenye 'liquid form" iweze kuingia katika meli na mitungi midogo kwa kusafirishwa.
Hiki kiwanda pekee kinagharimu $30B, ndio mazungumzo yapo katika hatua za mwisho ili wawekezaji waanze kujenga hicho kiwanda huko Mtwara ili gesi yetu iweze kupelekwa nchi mbali mbali duniani.
Kutokana na uwekezaji wa pesa nyingi katika kujenga kiwanda, matokeo yake gharama ya gesi inakua juu sana kwa wananchi masikini kuweza kupikia majumbani
2)Non compressed= Hii gharama yake ni Kihinga bomba toka kwenye visima hadi majumbani, unatumia kama maji, bei yake ipo chini sana, wananchi wengi wanaweza kulipia.
Kiwanda cha kugeuza gesi kuwa maji ni biashara kubwa kwa hiyo ni private sector, lakini bomba la gesi zaidi ni serikali kwasababu ni sehemu ya huduma kama umeme na reli.
Weka ushahidi wa uchumi wa $100bln nihame Jf [emoji3][emoji3][emoji3]Unadhani $1 billion ni nini kwa uchumi wa $100 billion? Wacha mchezo bwana. $1 billion sio kitu.
Huwa naelewa kwnn unawaunga mkono wamisri kulilipua hilo bwawa la Ethiopia [emoji3][emoji3][emoji3]Sahau kabisa kuhusu GERD, hilo bwawa kama Ethiopia haitofikia makubaliano na Egypt, halitozalisha umeme kabisa, na wakifikia makubaliano maana yake Ethiopia itaweza kuanza kuuza umeme kuanzia 2026.
Huu mradi ni mkubwa sana, $30B kwa hapa Africa ni pesa nyingi Sana, sijawahi sikia mradi wowote mkubwa hapa Africa wenye kuzidi thamani ya hii, labda huo wa Msumbiji ambao hatima yake haina uhakika kutokana na hali ya usalama inavyozidi kuzorota.Hv majaribio ya huu mradi kule kusini yanaendeleaje?
Siri yako usimuambie mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa naelewa kwnn unawaunga mkono wamisri kulilipua hilo bwawa la Ethiopia [emoji3][emoji3][emoji3]
Huwa naelewa kwnn unawaunga mkono wamisri kulilipua hilo bwawa la Ethiopia [emoji3][emoji3][emoji3]
Usichanganye madesa compressed gas ya kwenye LNG tanker ni tofauti na ya kwenye mitungi! Hii yetu hata Tanzania inauzwa pia kwenye mitungi japo serikali inajaribu kusambaza mabomba kwa final users!Hii gesi ambayo haijakuwa compressed inaweza kulipuka kama ile iliyo compressed kwenye mtungi au hii ni safe hailipuki?
Nina swali. Yale mitungi ya gesi ambayo Kenya ilizuia kuingia kutoka TZ ilikuwa gesi yenu au ilikuwa imported?Usichanganye madesa compressed gas ya kwenye LNG tanker ni tofauti na ya kwenye mitungi! Hii yetu hata Tanzania inauzwa pia kwenye mitungi japo serikali inajaribu kusambaza mabomba kwa final users!
Wachache tunakuelewa mkuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siri yako usimuambie mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.Nina swali. Yale mitungi ya gesi ambayo Kenya ilizuia kuingia kutoka TZ ilikuwa gesi yenu au ilikuwa imported?
Basi Kenya ilikuwa na haki ya kuzuia mitungi hiyo. Kulingana na sheria za EAC, nchi haistahili kuimport na kuuzia nchi jirani product bila kufanya value addition na nchi jirani ina haki ya kukataa kuingiza bidhaa hiyo au pia ina haki ya kuongeza ushuru katika bidhaa kama hizo. Hii ni kuzuia dumping of goods na kuprotect local industriesAfrica nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Nakumbuka kuna Wakati Kenya tulizuia sukari kutoka Uganda kuingia huku kwa sababu Uganda ilikuwa inaimport hio sukari kutoka Brasil na kujifanya eti wao wenyewe ndio wametengeneza sukari hio.Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Wacha kuropoka wewe gesi ya TPDC inauzwa kwenye mitungi sema Africa nzima haina LNG/LPG plant kwa ajili ya ku-feed LNG/LPG tanker!Africa nzima hakuna kiwanda cha gas, kwahiyo gas yoyote iliyojazwa katika mitungi ni kutoka nje ya Africa.
Kiwanda gani Tanzania kina uwezo wa kucompress gas hadi kuwa kwenye liquid form, kipo wapi hicho kiwanda na kinamilikiwa na nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha kuropoka wewe gesi ya TPDC inauzwa kwenye mitungi sema Africa nzima haina LNG/LPG plant kwa ajili ya ku-feed LNG/LPG tanker!
Usichanganye vitu compression unayoongelea wewe ni ya ku-fill tankers at right pressure and temperature to enable easier long distance transport across the seas! Hiyo hatuna gesi tunayotumia haihitaji compression hiyo! Kuna mitambo midogo isiyopungua mitatu Songosongo, Mnazi bay na Kiliwani North inayo-process gas kabla ya kuisafirisha kwa bomba kwenda Dar!Kiwanda gani Tanzania kina uwezo wa kucompress gas hadi kuwa kwenye liquid form, kipo wapi hicho kiwanda na kinamilikiwa na nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]