Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

It is not economically feasible to have mega ports, from Zanzibar, Lamu, Mombasa, Tanga, Bagamoyo, Dar, Lindi, Kilwa, Ntwara etc. China playing on weak minds, then it will have a field day to dump industrial goods along the EA coast. Currently it is funding new ports quite easily!
 
Na hiyo gas siyo yetu ni makampuni tu yanataka yatuuzie tumekwisha hatari
 
Mkuu watu kama hao usiwajibu maana hakuna wanachoelewa! Ebu fikiria mtu anaandika upuuzi kama huo!
 
Makamba ndio atakuwa waziri wa kwanza kumtumbua na kumrudisha medadi kalemani akisaidiwa na Joseph kasheku Msukuma!! Ili wasimamie sekta ya umeme vizuri!!nakumbuka Tz tulishaanza kusahau mgao wa umeme!!
 
Wewe unaongea kwa hasira tu huna fact yeyote! Kichwa kimejaa kamasi!
Jamaa huyo hakuna anachojuwa na hajui kuwa hata hiyo gas anayosema siyo yetu yupo tu hapo kuandika asilimia ambazo hazipo ! Muelimisheni tanzania inanufaikaje na hiyo gas na kwa nini hiyo gas iliachwa wakaanza kuchimba bwa hilo! Kiuna watu ukiwajuwa kama upo karibu unaweza kurusha hata ngumi maana ni wepesi kuchangia mambo wasiyoyajuwa
 
Gesi ya Mtwara, Lindi na Songo songo ipo ya kutosha. Great ruaha haina maji na Ihefu imejaa mifugo. Bora twende na umeme wa gesi.
Kwa hiyo trilion zilizolala pale wasitishe kuendeleza??????
 
Shida hapa ni 10%, wameona watu walishapiga sasa nao watapigje?, hii nchi wananchi sisi ni MAZOBA 1st class. Hiyo gesi yenyewe ishakuwa sio yetu, itabidi wauziwe tanesco, sasa unategemea hapo umeme utapoa kweli, viongozi wetu ni walafi saana na wabinafsi, wanajijali wao na sio watanzania. 😠
 
Dah... Kaka umeongea kwa uchungu sanaaaaa...
Kweli kuzaliwa Bongo bahati mbaya

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Gesi si ulishaa mbiwa sio yetu...

Ukijilegeza kwenye Gas utaingiza taifa katika tegemezi Aseee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…