Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

Propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anasifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni ya dhati kutoka moyoni mwake kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla.

Kwani walikua hawajampima kabla hajatoka chato. Pili kwa nini mkapa ,afe maalim, afe kijazi naye afe,jpm pia hlf afe msanifu madaraja hii chain ni moja na kuna watu walionganishwa ili kututengenezea picha kua walikwisha kwa corona na magonjwa ya moyo ila ukweli huwa hata kwa macho haufichiki.

Daima huyu jamaa huwa naamimi alikua sio pupet alisanua mambo Mengi. Saivi kwenye bunge naibu spika kasogezwa yule alieutetea mradi wa Bagamoyo ambao thamani yake ni sawa na bajeti yetu ya mwaka kikubwa wazingatie masharti yawe mazuri ila kwa hiyo hela nchi nzima imenunuliwa.

Huo mradi utakamilika ila ni kwa mazengwe sana na tuzidi kupiga kelele.
It is not economically feasible to have mega ports, from Zanzibar, Lamu, Mombasa, Tanga, Bagamoyo, Dar, Lindi, Kilwa, Ntwara etc. China playing on weak minds, then it will have a field day to dump industrial goods along the EA coast. Currently it is funding new ports quite easily!
 
Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.

Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.

Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.

Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Na hiyo gas siyo yetu ni makampuni tu yanataka yatuuzie tumekwisha hatari
 
Acha uchizi mzee baba, unao ushahid wa hizo pesa kuliwa? Ama chuki znakusumbua.

Alafu hiyo misitu inawanufaisha vip waTz kiasi kwamba izuie mradi mkubwa kujengwa?

Una elimu gani aisee, hujui ktk maendeleo kuna kusacrifice kitu kidogo ili kizae kikubwa.

Endelea na mindset za kupinga kila jambo bila facts.
Mkuu watu kama hao usiwajibu maana hakuna wanachoelewa! Ebu fikiria mtu anaandika upuuzi kama huo!
 
Makamba ndio atakuwa waziri wa kwanza kumtumbua na kumrudisha medadi kalemani akisaidiwa na Joseph kasheku Msukuma!! Ili wasimamie sekta ya umeme vizuri!!nakumbuka Tz tulishaanza kusahau mgao wa umeme!!
 
Wewe unaongea kwa hasira tu huna fact yeyote! Kichwa kimejaa kamasi!
Jamaa huyo hakuna anachojuwa na hajui kuwa hata hiyo gas anayosema siyo yetu yupo tu hapo kuandika asilimia ambazo hazipo ! Muelimisheni tanzania inanufaikaje na hiyo gas na kwa nini hiyo gas iliachwa wakaanza kuchimba bwa hilo! Kiuna watu ukiwajuwa kama upo karibu unaweza kurusha hata ngumi maana ni wepesi kuchangia mambo wasiyoyajuwa
 
Gesi ya Mtwara, Lindi na Songo songo ipo ya kutosha. Great ruaha haina maji na Ihefu imejaa mifugo. Bora twende na umeme wa gesi.
Kwa hiyo trilion zilizolala pale wasitishe kuendeleza??????
 
Shida hapa ni 10%, wameona watu walishapiga sasa nao watapigje?, hii nchi wananchi sisi ni MAZOBA 1st class. Hiyo gesi yenyewe ishakuwa sio yetu, itabidi wauziwe tanesco, sasa unategemea hapo umeme utapoa kweli, viongozi wetu ni walafi saana na wabinafsi, wanajijali wao na sio watanzania. 😠
 
Tuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.

Ila uzuri yy mwenyewe alikubali zamani umeme ulikuwa haukatika, alivyo ingia yy hizi ngonjera zimeanza mara schedule maintenance, mara wafanyakazi walikuwa wanashindwa kufanyakazi sababu walikuwa wanafokewa, mara crane la tani 27 hatuna, mara kakodi chopa kukagua vyanzo vya maji nk yaani upuuzi upuuzi mwingi vitendo hamna,mgao hauelewiki ni wa masaa mangapi na wa siku zipi.

Mimi naona bwawa hili waziri anataka kulipiga chini so alipige chini na ikiwezekana kabla hajalipiga chini awakabidhi watu wanao deal na maswala ya utalii liwe kama sehemu ya utalii na kivutio (makumbusho) ili turuhusiwe na familia zetu tukapige picha, inaweza kusaidia kurudisha gharama za ujenzi zilizo tumika kidogo kidogo na hao wakandarasi awaondoe awalipe hela yao,maisha ya endelee na waendelee kufanya watakacho.

Nchi tena ni yao wao na familia zao na sitegemi kilaza MWEZI WA KWANZA KUTUMBULIWA cha msingi tutafute Majenereta au solar maisha ya endelee.
Dah... Kaka umeongea kwa uchungu sanaaaaa...
Kweli kuzaliwa Bongo bahati mbaya

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Gesi si ulishaa mbiwa sio yetu...

Ukijilegeza kwenye Gas utaingiza taifa katika tegemezi Aseee

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom