Zaidi ya 8000......🤣🤣🤣Tuliambiwa tunavyo vingi sana, hatujuhi vimeenda wapi😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya 8000......🤣🤣🤣Tuliambiwa tunavyo vingi sana, hatujuhi vimeenda wapi😂
hili ni muhimu ila mpaka tamko litoke kwa mkuu au bunge lipendekeze.Kuhusu Jiwe kuuwawa inabidi walinzi na wapambe wake wote watupwe ndani watueleze kinagaubaga!
Siyo rahisi kwa sasa wala kesho labda kwa mbeleni huko, mambo yabadilike automatically na kinaga ubaga kuwekwa wazi.hili ni muhimu ila mpaka tamko litoke kwa mkuu au bunge lipendekeze.
It is not economically feasible to have mega ports, from Zanzibar, Lamu, Mombasa, Tanga, Bagamoyo, Dar, Lindi, Kilwa, Ntwara etc. China playing on weak minds, then it will have a field day to dump industrial goods along the EA coast. Currently it is funding new ports quite easily!Propaganda zilipigwa mkajua mwendazake anasifa sana na ikulu kuna kiasi alikosea ila nia yake ya dhati kwenye nishati na miundo mbinu ili tujitegemee ilikuwa ni ya dhati kutoka moyoni mwake kwa kifo chake ilitakiwa tuhoji kwa nini mtu aanze ziara halafu afe ghafla.
Kwani walikua hawajampima kabla hajatoka chato. Pili kwa nini mkapa ,afe maalim, afe kijazi naye afe,jpm pia hlf afe msanifu madaraja hii chain ni moja na kuna watu walionganishwa ili kututengenezea picha kua walikwisha kwa corona na magonjwa ya moyo ila ukweli huwa hata kwa macho haufichiki.
Daima huyu jamaa huwa naamimi alikua sio pupet alisanua mambo Mengi. Saivi kwenye bunge naibu spika kasogezwa yule alieutetea mradi wa Bagamoyo ambao thamani yake ni sawa na bajeti yetu ya mwaka kikubwa wazingatie masharti yawe mazuri ila kwa hiyo hela nchi nzima imenunuliwa.
Huo mradi utakamilika ila ni kwa mazengwe sana na tuzidi kupiga kelele.
sio kwa sasa hilo nakubali.Siyo rahisi kwa sasa wala kesho labda kwa mbeleni huko, mambo yabadilike automatically na kinaga ubaga kuwekwa wazi.
Hata wangekuwa hao, kwa hali ya sasa mambo yangekuwa magumu kama ilivyo sasa.Kwani kulikuwa hakuna namna ya kuwatafuta wachina ambao wamejenga bwawa huko Ethiopia?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
hatuelewiiHilo crane la tani 26 liko wapi?
Na hiyo gas siyo yetu ni makampuni tu yanataka yatuuzie tumekwisha hatariKiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa.
Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600.
Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115, hakuna uhakika wa lini utakamilika.
Hivi viwanda vya uchumi wa kati vitatumia huo wa Gas? Hii ndiyo Tanzania.
Mkuu watu kama hao usiwajibu maana hakuna wanachoelewa! Ebu fikiria mtu anaandika upuuzi kama huo!Acha uchizi mzee baba, unao ushahid wa hizo pesa kuliwa? Ama chuki znakusumbua.
Alafu hiyo misitu inawanufaisha vip waTz kiasi kwamba izuie mradi mkubwa kujengwa?
Una elimu gani aisee, hujui ktk maendeleo kuna kusacrifice kitu kidogo ili kizae kikubwa.
Endelea na mindset za kupinga kila jambo bila facts.
Jamaa huyo hakuna anachojuwa na hajui kuwa hata hiyo gas anayosema siyo yetu yupo tu hapo kuandika asilimia ambazo hazipo ! Muelimisheni tanzania inanufaikaje na hiyo gas na kwa nini hiyo gas iliachwa wakaanza kuchimba bwa hilo! Kiuna watu ukiwajuwa kama upo karibu unaweza kurusha hata ngumi maana ni wepesi kuchangia mambo wasiyoyajuwaWewe unaongea kwa hasira tu huna fact yeyote! Kichwa kimejaa kamasi!
Kwa hiyo trilion zilizolala pale wasitishe kuendeleza??????Gesi ya Mtwara, Lindi na Songo songo ipo ya kutosha. Great ruaha haina maji na Ihefu imejaa mifugo. Bora twende na umeme wa gesi.
Bwawa la Nyerere kwisha habari yake.Na hiyo gas siyo yetu ni makampuni tu yanataka yatuuzie tumekwisha hatari
Dah... Kaka umeongea kwa uchungu sanaaaaa...Tuna waziri kilaza tokea aitoe kauli yake hii "zamani umeme ulikuwa haukatiki sababu kulikuwa hamna schedule maintenance " ni kaona hatuna waziri.Sijui katuona vilaza kama yeye. Hiko kijenereta ukiache kioperate kwa miezi kazaa bila maintenance lazima kibume.
Ila uzuri yy mwenyewe alikubali zamani umeme ulikuwa haukatika, alivyo ingia yy hizi ngonjera zimeanza mara schedule maintenance, mara wafanyakazi walikuwa wanashindwa kufanyakazi sababu walikuwa wanafokewa, mara crane la tani 27 hatuna, mara kakodi chopa kukagua vyanzo vya maji nk yaani upuuzi upuuzi mwingi vitendo hamna,mgao hauelewiki ni wa masaa mangapi na wa siku zipi.
Mimi naona bwawa hili waziri anataka kulipiga chini so alipige chini na ikiwezekana kabla hajalipiga chini awakabidhi watu wanao deal na maswala ya utalii liwe kama sehemu ya utalii na kivutio (makumbusho) ili turuhusiwe na familia zetu tukapige picha, inaweza kusaidia kurudisha gharama za ujenzi zilizo tumika kidogo kidogo na hao wakandarasi awaondoe awalipe hela yao,maisha ya endelee na waendelee kufanya watakacho.
Nchi tena ni yao wao na familia zao na sitegemi kilaza MWEZI WA KWANZA KUTUMBULIWA cha msingi tutafute Majenereta au solar maisha ya endelee.
Gesi si ulishaa mbiwa sio yetu...Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.
Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.
2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.