Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

Sawa nakuomba urudi kwenye cost ya unit katika final consumer ili tuweze kupata relevacy ha huo mradi really uko cheap kiasi hicho, kama solar in ghari, kwani hamna vyanzo vigine ambavyo ni relatively cheaper.......huo mradi usiwe White elephant tunahitaji kuona matunda in terms of cost, fanya feasobility study ya comparison umeme wa Tanzania na nchi jirani uone kama mradi wetu unasaidia mwananchi wakawaida.
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.
Hydroelectric haijapitwa na wakati na Zina ufanisi mkubwa, kwanza unapata umeme, pili una unayahifadhi maji na kupunguza upotevu wa maji mengi kumwagika baharini wakati wa msimu wa mvua tatu unakua na ziwa ambalo litawezesha shughuli za utalii, uvuvi, kilimo na mazingira ya ustawi wa wanyama na ndege.
Solar energy ni complentary au saidizi sababu Ina faa zaidi mchana kwanza Kuna changamoto ya kuhifadhi umeme Ili utumike usiku au siku za mvua. Hapa tunazungumzia umeme mkubwa wa grid sio mdogo wa nyumba binafsi yenye matumizi ya watts kidogo ambako unaweza kuweka storage batteries kwa akili ya usiku.
Hata hivyo Tanzania inahitaji zaidi ya 10,000 Mw Ili ianze kujikwamua kiuchumi ,hili bwawa litachangia kupunguza mgao wa wa matumizi ya binafsi na huduma za jamii lakini sio viwanda vya maana.
 
China ina mrad moja wa solar wanazalisha 5000mgw at the cost of $3m wakati sisi cost ya huo mradi ni karibu $5m unategemea kuzalisha 2200mw....mkuu hapo tafakari. Tutakua tuna chimba hizo damu ngapi kufikisha 10000mw, wakati kwa solar tugeweka mbili tu.....hiyo technology ya HEP ni out dated tabia nchi imefanya mvua hutotabilika tena.
 
Umeme wa TANESCO ukiachana na uzalishaji pia una usambazaji unaoongeza gharama, na pia kuna upotevu mkubwa, bado kuna wizi, kuna uchakavu wa miundombinu na kuna kodi ambayo hata wewe hapo unalipia unajua.

Hayo yote hayawezi kwepeka kwa kuachana na umeme wenye gharama ndogo za uzalishaji kwenda kwenye wenye gharama kubwa. Ukipewa bodaboda ukashindwa gharama za mafuta ukapendekeza upewe gari la 3000cc tukakuona zimekuruka.
 
China na Tanzania kwenye solar hatufanani kwa namna yoyote.

China kila kitu kwenye solar anatoa hapo hapo kwake.
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.
Umetumwa
 
China ndo kwanza kajenga na anazidi kujenga mengine makubwa zaidi
 
Ni kweli ametumwa na anatumika na makampuni ya solar, haelewi miradi ya solar mikubwa ni complex na inahitaji running cost mingi na initial investment kubwa, Hii nchi vilaza hawapo CCM na Chadema tu hata huku mtaani
 
Mkuu hata hiyo China bado wanategemea umeme wa kufuliwa na maji.

China wana bwawa kubwa la HEP ambalo linazalisha karibu MW 22,000. Hivyo kusema uzalishaji huu umepitwa na wakati si sawa.
 
Mkuu hata hiyo China bado wanategemea umeme wa kufuliwa na maji.

China wana bwawa kubwa la HEP ambalo linazalisha karibu MW 22,000. Hivyo kusema uzalishaji huu umepitwa na wakati si sawa.
Hilo bwawa sio la leo lomejengwa 70yrs nyuma hawawezi kujenga jingine kwasbb hiyo technology imeshakua outdated......wamejikita kwenye solar power 5000mw mradi moja tu.
 
Hilo bwawa sio la leo lomejengwa 70yrs nyuma hawawezi kujenga jingine kwasbb hiyo technology imeshakua outdated......wamejikita kwenye solar power 5000mw mradi moja tu.
We jamaa ni muongo sana ase... unazungumzia bwawa lipi?

Three Gorges imejengwa miaka 70 nyuma una uhakika?

Cha muhimu ni nchi kuwa na energy mix, kwa hali ya sasa ya mabadiliko ya tabianchi huwezi tegemea chanzo kimoja cha nishati. Hivyo, kuwepo kwa Stieglers Gorge ni mojawapo ya juhudi za kupongezwa wakati tunaendela kuanzisha vyanzo mbadala vya nishati.
 
Hilo bwawa sio la leo lomejengwa 70yrs nyuma hawawezi kujenga jingine kwasbb hiyo technology imeshakua outdated......wamejikita kwenye solar power 5000mw mradi moja tu.
Hilo bwawa sio la leo lomejengwa 70yrs nyuma hawawezi kujenga jingine kwasbb hiyo technology imeshakua outdated......wamejikita kwenye solar power 5000mw mradi moja tu.
Three gorge ni post
Hilo bwawa sio la leo lomejengwa 70yrs nyuma hawawezi kujenga jingine kwasbb hiyo technology imeshakua outdated......wamejikita kwenye solar power 5000mw mradi moja tu.
Hapana. Hili ni la 1994 Hadi 2006, na wanaendelea na miradi mingine mingi ya maji, ni cheap Chadema wewe
 
Tunahitaji kuona ubora wa HEP kwenye cost ya unit ya umeme, Qatar, umeme wao uko cheap mara mbili ya umeme wa Tz wakat i Qatar ni technology ya solar.......
Ila wabongo sisi sijui tulirogwa na mkoloni gani kati ya mwingereza na mjerumani. Yaani kwa akili zako zoote unadhani haiwezekani kushusha bei ya umeme kwa uniti kwasababu eti uendeshaji wa HEP ni gharama?
 
Ni kweli kabisa na tumeambiwa ni mradi wa kutosheleza Nchi nzima kwa umeme na Ziada ya kuuza.
Kinachonishangaza ni kwa nini kila kukicha unasikia TANESCO wameanzisha miradi mingine ya mabilioni kila kona?
Sio kwamba TANESCO wanatengeza Matumizi ili kila siku waonekane hawana pesa?

Kwa nini wasitumie hizo pesa za kuanzisha miradi mipya kwa kufikishia watu nishati safi ya umeme kwa bei poa (shs27,000) na kuimarisha miundo mbinu kwanza kwa asilimia 90% halafu ndio waanze miradi mingine mipya?
Au basi kama TANESCO wapo vizuri hizo hela zipangiwe miradi mingine kwani Nchi hii bado ni masikini gap zipo kila mahala....mfano SGR ya kwenda KIGOMA, walimu wa sayansi na hesabu hakuna nk nk

Ukiangalia uwekezaji wa stiglers/deni tunalodaiwa na hela tunayo pata tuna buni tena vimiradi vipya vya mabilioni; unaona kama kuna kitu hakipo sawa....
 
Kiongozi unaijua solar vizuri au umesikia kwa wanasiasa tu. China wanazalisha kila kitu cha solar kwao na wewe je unamaterial hayo bila kuagiza? Iko hivi Solar ni spana mkononi na shida yake ni panel life span yake ni 25yrs na battery ni 5yrs baada ya life span hiyo ya kila kimoja hapo umeme wako unasuasua sana na inabidi ubadilisha kila kitu battery na panel, ukichelewa kufanya hivo utafumua wiring nzima kuondoa cabon. Unapobadili panel na battery ni unanaua tena sytem mpya. Wakati HEP unafanya service tu. HEP is best na inafaida zaidi kama ulivopewa na wataalam hapo nyuma.
 
...Halafu mmempa Mhindi afanye Uwekezaji ! Bwawa mmejenga wenyewe Kwa Hela zenu, halafu mumpe Mhindi wa India afanye Uwekezaji ! Akili, Matope ?
Ndio maana Kenya walimtakaachape Lapa'...wakati sisi ni Shamba la Bibi !.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…