Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

Nmejiridhisha pasipo na shaka lolote kua akili yako si timamu
umeonaee,china anayekimbilia new tech Bado anajenga mabwawa tena ni makubwa hasa Kwani yana faida kubwa.magu was very genius nchi hii haijawahi kupata na huenda asipatikane tena.
 
umeonaee,china anayekimbilia new tech Bado anajenga mabwawa tena ni makubwa hasa Kwani yana faida kubwa.magu was very genius nchi hii haijawahi kupata na huenda asipatikane tena.
Kuna vitu tumekaririshwa kua n lazima tupinge kila jambo hapa hata ukimtajia SGR atapinga tena sasa unajiuliza huyu ni mtu au panzi🤔
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.

Napingana kabisa na wewe. Hydro power generation is one of the renewable sources of energy like solar, wind, geothermal, ocean waves etc.

Tanzania, if the environment is kept maintained, has got a potential of producing 4 GW of power from hydro sources. The hydro power plants can be from small size/micro powerplants to larger or much larger than Nyerere Hydro Power Plant.

The use of fossils is the one that is outdated and must be discarded, including the use of natural gas. However, the powerful people in the fossil fuels, for decades have been working hard to frustrate the investment in technologies that pave a way to use other power generation sources.
 
Huo mzigo katuachia JPM ndo maana unaona shilling ya Tanzania inashuka kila siku dhidi ya dollar ya US, kwasbb ya debt service en payment. Watanzania tulihitaji mradi wa kubadili life style au maisha ya Watanzania holistic change ya maisha ila wapi......JPM alibugi sanaa.

Acha kunywa pombe chafu. Zinasababisha ukichaa...Miradi unayoisema imeshushaje dola kwa mfano? Mbona sasa hivi dola zipo, shiling zinalia? Uhujumu uchumi ndio sababu. Haya mengine tunayaeleza kama walevi wa Konyagi feki
 
HOJA yake Kwa upande wa Dolla yupo sahihi, Miradi mikubwa ndo imekunywa Dolla asilimia kubwa, kwasababu vitu vingi vipo imported ambayo ni dolla inatumika, hasa mradi wa Reli na Stiglers, nenda Hazina watakuambia hii kitu
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.
UONGOOOOOOOO
 
Toka nchi hii uanze kutekeleza miradi ya Maendeleo ni muda mrefu na miradi mingi ya kimkakati imetekelezwa ,ikiwemo pamoja iliyotekelezwa na wakoloni mfano mradi wa Reli ya Kati.

Ukiachana na miradi iliyotekelezwa na wakoloni, nimejaribu kupima na kuangalia ukubwa na umuhimu wa miradi iliyowahi kutekelezwa nchini, kipindi nchi ikijiongoza yenyewe na c wakoloni.

Nimeangalia na kujiridhisha kwamba ni kweli miradi imefanyika mingi, ikiwemo Bomba la Gesi kutoka mtwara, Daraja la busisi, mradi wa Reli ya SGR, unaoendelea, Chuo cha UDOM.

Kutokana na sababu hapa chini pamoja impact na changamoto iliyotatua nadhani Mradi wa Stiglers George, uliotekelezwa na "MAGUFULI PEKE YAKE" ndio mradi Bora wa muda wote kuwahi kufanywa nchini na hivyo namuweka kuwa mradi wa Karne.

1. Mradi huu ulikuwa na Vikwazo vingi, kutoka watu wa Ndani Chadema baadhi na CCM baadhi, watu wa mazingira. Lakini pia MABEBERU USA, UMOJA WA ULAYA, serikali ya Ujerumani walipinga mradi huu Kwa nguvu , na kama asingekuwepo Magufuli mradi huu ungebaki kwenye makaratasi.

2. Mradi huu umekuwa mgumu pia kwasababu ya Gharama za utekelezaji wake, Mradi umegharimu Tsh Trilioni 6.5 + Variation (+40%) ambayo imehitaji uthubutu mkubwa kuutekeleza.

3. Katika miradi iliyoleta na itakayoleta impact kwenye maendeleo basi ni huu.

Kwanza Mgao wa Umeme Umekwisha japo tatizo la kukatika Umeme lipo kutokana na uchakavu wa miundombinu. Mradii huu unamwaga MW 940 kwenye Gridi ya Taifa na huku mashine 4 ziliwa zimeingia, Sasa nawaambia zikifika mashine 5, basi Stiglers itakuwa na uwezo wa kuhudumia nchi nzima peke yake.

Pili mradi huu unachochea miradi mingine mikubwa kama Mradi wa Migodini inayotumia Umeme mwingi sana, SGR, Bomba la Mafuta.

Namalizia kwakusema, Mradi wa Bwawa la Stiglers George utakaozalisha MW 2115, ndio mradi Bora wa muda wote kuwahi kutekelezwa na Watanzania wote wakiongozwa na Magufuli.
JPM.
 
Back
Top Bottom