Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

...Halafu mmempa Mhindi afanye Uwekezaji ! Bwawa mmejenga wenyewe Kwa Hela zenu, halafu mumpe Mhindi wa India afanye Uwekezaji ! Akili, Matope ?
Ndio maana Kenya walimtakaachape Lapa'...wakati sisi ni Shamba la Bibi !.
Aliempa nani, Mimi sihusiki na ufisadi wa CCM
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.

Canada leo hii wapo site wanajenga bwawa la umeme kama stieglers. Lenye thamani ya trilioni 30.

Je wa Canada wa leo hii mwaka 2024 ni wajinga hawajui Kama umeme wa maji umepitwa na wakati ?
Screenshot_20241023-203847_Firefox.jpg
 
Mkuu hilo bwawa lina tegemea kiwango cha mvua kwa mwaka kuna kipindi mvua zitakosana kabisa. Ulaya au Asia hiyo miradi ya hydro power imesha kua ignored sio economic, ni huyu JPM kukurupuka kutuingiza kyaka,.....mbona gharama za umeme bado ziko ju kama ni cost- effective schem

Miradi ya mabwawa imekuwa ignored wapi? Wakati hata marekani na canada leo hii wanajenga mabwawa ?
Screenshot_20241023-202910_Firefox.jpg
 
Genius Magufuli ndio president bora wa muda wote akifuatiwa na Mwalimu Nyerere.
Usimfananishe Mwl Nyerere na Magufuli,
Magufuli haingii kwa Nyerere hata robo. Nyerere aliacha viwanda zaidi ya 400, wahuni wakapita navyo vyote,, elimu bure, afya bure. Alikomboa nchi zaidi ya 5 wakajipatia Uhuru, Mozambique, Namibia, Angola, SA, Zimbabwe nk. Aliheshimiwa na dunia nzima. Nyerere habari nyingine kabisa.
 
Hao watu wengine mnapoteza muda kuwajibu mioyo yao imejaa chuki hivyo hawawezi kuona zuri lolote kila kitu atapinga hata kama moyoni anaujua ukweli
 
Mkuu hilo bwawa lina tegemea kiwango cha mvua kwa mwaka kuna kipindi mvua zitakosana kabisa. Ulaya au Asia hiyo miradi ya hydro power imesha kua ignored sio economic, ni huyu JPM kukurupuka kutuingiza kyaka,.....mbona gharama za umeme bado ziko ju kama ni cost- effective schem
Asia gani unayo izungumzia ww? Juzi China 2020 alitangaza kuanza kujenga bwawa kubwa la umeme lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 60000 na ndio litakuwa bwawa kubwa duniani.

Sasa jiulize, China hakuona gesi? Hakuona Nuclear Energy? Why kachagua umeme wa maji.Hao Waarabu wenyewe,kwao kuna joto jua linapiga na mihela yao yote hawatumii umeme wa jua.
 
Magufuli namba 1, nyerere 2
Kipimo ni vitendo, ila kila mtu ana kura/vote apendavyo hata bila kujali uhalisia. Nimewaona kwa macho wote 2 kwa ukaribu. Nyerere hakuna mfano. Angekuwa na tamaa hii nchi ingekuwa hoi.
 
Hao ndo worse president wa nchi legacy ya Nyerere imafanya wstanzania kwa 80% kua masikini na kua na elimu duni, Nyerere kafanya makosa mengi kuliko raisi yoyote hapa Tanzania. JPM karudisha Tanzania nyuma miaka 20.
Kapime akili yako,itakuwa ina shida mahali.
 
Miradi bora zaidi nchii hii ni ujenzi wa Chuko kikuu cha Dar es Salaam na Hospitali ya Muhimbili
Bila umeme wa uhakika hiyo Muhimbili itakuwa na faida gani????
Au hadi hujajua kuwa matibabu ni vipimo.? ,na vipimo bila umeme sijui kama inawekezana??
 
Sawa nakuomba urudi kwenye cost ya unit katika final consumer ili tuweze kupata relevacy ha huo mradi really uko cheap kiasi hicho, kama solar in ghari, kwani hamna vyanzo vigine ambavyo ni relatively cheaper.......huo mradi usiwe White elephant tunahitaji kuona matunda in terms of cost, fanya feasobility study ya comparison umeme wa Tanzania na nchi jirani uone kama mradi wetu unasaidia mwananchi wakawaida.
Mambo ya fiziabiliti stadi aligomea mwamba
 
Hao ndo worse president wa nchi legacy ya Nyerere imafanya wstanzania kwa 80% kua masikini na kua na elimu duni, Nyerere kafanya makosa mengi kuliko raisi yoyote hapa Tanzania. JPM karudisha Tanzania nyuma miaka 20.
Kwa kujenga stiglers gorge na sgr? na huu mwendo tunaoenda nao watumishi na makada wote kugeuka chawa huu utatupeleka miaka 40 mbele etii?.
 
Huo mzigo katuachia JPM ndo maana unaona shilling ya Tanzania inashuka kila siku dhidi ya dollar ya US, kwasbb ya debt service en payment. Watanzania tulihitaji mradi wa kubadili life style au maisha ya Watanzania holistic change ya maisha ila wapi......JPM alibugi sanaa.
hakubugi, serikalini Kuna shida nyingi na mapato ya Kodi na mikopo haya simamiwi vyema.
 
Mradi bora kuwahi kutokea ni ule wa kujenga shule za sekondari kila kata
 
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.
Nmejiridhisha pasipo na shaka lolote kua akili yako si timamu
 
Back
Top Bottom