mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
- Thread starter
-
- #41
Aliempa nani, Mimi sihusiki na ufisadi wa CCM...Halafu mmempa Mhindi afanye Uwekezaji ! Bwawa mmejenga wenyewe Kwa Hela zenu, halafu mumpe Mhindi wa India afanye Uwekezaji ! Akili, Matope ?
Ndio maana Kenya walimtakaachape Lapa'...wakati sisi ni Shamba la Bibi !.
Aliempa nani, Mimi sihusiki na ufisadi wa CCM...Halafu mmempa Mhindi afanye Uwekezaji ! Bwawa mmejenga wenyewe Kwa Hela zenu, halafu mumpe Mhindi wa India afanye Uwekezaji ! Akili, Matope ?
Ndio maana Kenya walimtakaachape Lapa'...wakati sisi ni Shamba la Bibi !.
Hiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.
Mkuu hilo bwawa lina tegemea kiwango cha mvua kwa mwaka kuna kipindi mvua zitakosana kabisa. Ulaya au Asia hiyo miradi ya hydro power imesha kua ignored sio economic, ni huyu JPM kukurupuka kutuingiza kyaka,.....mbona gharama za umeme bado ziko ju kama ni cost- effective schem
Usimfananishe Mwl Nyerere na Magufuli,Genius Magufuli ndio president bora wa muda wote akifuatiwa na Mwalimu Nyerere.
Asia gani unayo izungumzia ww? Juzi China 2020 alitangaza kuanza kujenga bwawa kubwa la umeme lenye uwezo wa kuzalisha Megawatts 60000 na ndio litakuwa bwawa kubwa duniani.Mkuu hilo bwawa lina tegemea kiwango cha mvua kwa mwaka kuna kipindi mvua zitakosana kabisa. Ulaya au Asia hiyo miradi ya hydro power imesha kua ignored sio economic, ni huyu JPM kukurupuka kutuingiza kyaka,.....mbona gharama za umeme bado ziko ju kama ni cost- effective schem
Kipimo ni vitendo, ila kila mtu ana kura/vote apendavyo hata bila kujali uhalisia. Nimewaona kwa macho wote 2 kwa ukaribu. Nyerere hakuna mfano. Angekuwa na tamaa hii nchi ingekuwa hoi.Magufuli namba 1, nyerere 2
Kapime akili yako,itakuwa ina shida mahali.Hao ndo worse president wa nchi legacy ya Nyerere imafanya wstanzania kwa 80% kua masikini na kua na elimu duni, Nyerere kafanya makosa mengi kuliko raisi yoyote hapa Tanzania. JPM karudisha Tanzania nyuma miaka 20.
Bila umeme wa uhakika hiyo Muhimbili itakuwa na faida gani????Miradi bora zaidi nchii hii ni ujenzi wa Chuko kikuu cha Dar es Salaam na Hospitali ya Muhimbili
Unaishi wapi,isije kuwa unaishi kigoma halafu unatoa lawama.Miradi ya michongo........umeme kila siku hamna TZ Ni kama upo fu***n hell.....
Ambayo inazalisha madalali ama?Miradi bora zaidi nchii hii ni ujenzi wa Chuko kikuu cha Dar es Salaam na Hospitali ya Muhimbili
Mambo ya fiziabiliti stadi aligomea mwambaSawa nakuomba urudi kwenye cost ya unit katika final consumer ili tuweze kupata relevacy ha huo mradi really uko cheap kiasi hicho, kama solar in ghari, kwani hamna vyanzo vigine ambavyo ni relatively cheaper.......huo mradi usiwe White elephant tunahitaji kuona matunda in terms of cost, fanya feasobility study ya comparison umeme wa Tanzania na nchi jirani uone kama mradi wetu unasaidia mwananchi wakawaida.
Albdadiri vipiGenius Magufuli ndio president bora wa muda wote akifuatiwa na Mwalimu Nyerere.
Kwa kujenga stiglers gorge na sgr? na huu mwendo tunaoenda nao watumishi na makada wote kugeuka chawa huu utatupeleka miaka 40 mbele etii?.Hao ndo worse president wa nchi legacy ya Nyerere imafanya wstanzania kwa 80% kua masikini na kua na elimu duni, Nyerere kafanya makosa mengi kuliko raisi yoyote hapa Tanzania. JPM karudisha Tanzania nyuma miaka 20.
Huo mradi wa bwawa umekamilika? Na kama umekamilika umeshafanya kazi kwa muda gani? Kujua mafanikio yake tusubiri angalau miaka mitano tuone maana Bongo watu wanafanya kazi kwa midomo na siyo mikono.Miradi ilijengwa na wakoloni
hakubugi, serikalini Kuna shida nyingi na mapato ya Kodi na mikopo haya simamiwi vyema.Huo mzigo katuachia JPM ndo maana unaona shilling ya Tanzania inashuka kila siku dhidi ya dollar ya US, kwasbb ya debt service en payment. Watanzania tulihitaji mradi wa kubadili life style au maisha ya Watanzania holistic change ya maisha ila wapi......JPM alibugi sanaa.
na watoto kumaliza f4 bila kujua sides za pembe tatu.Mradi bora kuwahi kutokea ni ule wa kujenga shule za sekondari kila kata
Nmejiridhisha pasipo na shaka lolote kua akili yako si timamuHiyo hydro technology ilisha pitwa na wakati ni gharama kumantain huo mradi, bora mara 100 hizo pesa zinge elekezwa kwenye solar energy tunge pata maggawatt nyingi zaidi......case study ona solar projects za Qatar, Brazil Botswana nk.