Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
- Thread starter
- #21
Kuna watu wenye akili na sio wote wanatumia hisia.Wakulaumiwa hapo ni serikali kwani hao watu hawatakuwa na work permit kwani uhamiaji wawazi toa work permit kwa unskilled (mshika kibendela). Serikali ndiyo yenye jukumu la kudhibit idadi ya foreigners kwenye kila mradi.
Kwenye mikataba kuna maelekezo ya idadi ya wafanyakazi wageni Ila baadhi ya watendaji uona ni opportunity ya kupigia mpunga.
Hapo hakutakiwi hata kuwa na kibarua informer bali serikali inatakiwa ichomeke vibarua wake(UT) ili kufanikisha monitoring ya hao China.
Nashukuru mno na sio kuwa kila mtu Ana disi nchi yangu na watu wangu.
Kila watu duniani Wana madhaifu yao na wanapenda nchi zao