Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

Halafu vitenda vingi hapo Mwanza wanapewa sana wakandarasi kutokea Kenya,sijajua kwa nini.

2007 walikuwepo wahindi kutoka Kenya ndiyo wamejenga mtandao wa maji ya bomba karibu jiji zima ikijumuisha gati na matenki,waliitwa "Maltauro".
kwa sababu ya 'Ufanisi'.
 
Sawa daktari mkareee lakini nawe acha ubinafsi waacheni watu wafanye kazi figisu hazitakusaidia.
Hivi hujatembea nchi za watu uyajue maisha mkuu. Naweza nikawa naongea na mtu aliyejifungia uzio like of wallstreet.
Unaeelewa suala la ajira linapokuja suala mwenye nchi.
Yaani Basi baba yako ampe kijana mmoja ardhi alime huku nyie akiwaambia waacheni walime tu tuache roho mbaya.
Hivi Kama huelewi yaani Kama sikusomi,
Nenda nchi za watu uone Kama watakupa kazi kizembezembe na kwenye miradi ya serikali husika
 
Kama baba kaona matoto ni malevi, wavivu hawawezi kuzalisha wala kulima si bora hawape wengine walime then watagawana mavuno kulikp shamba kuharibiwa au kutelekezwa na matoto majinga au kuuzwa kabisa.
 
Back
Top Bottom