Zack Abdul JF-Expert Member Joined Mar 9, 2026 Posts 1,194 Reaction score 911 Aug 24, 2026 #1 Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
Samia Amkosha, Mbowe JNHPP! JNHPP ni mradi wa kihistoria na fahari ya Tanzania. Ni hatua kubwa itakayoongeza fursa za uzalishaji, uwekezaji na ajira kwa Watanzania. “Ndoto imetimia,” Rais Samia amesema, akisisitiza umuhimu wa mradi huu katika kuchochea maendeleo ya Taifa.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 18,180 Reaction score 22,280 Aug 24, 2026 #2 Kama Bei ya umeme haitashuka kwa UNIT ni sw na takataka tu. Kazi ni kipimo cha utu
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 43,233 Reaction score 51,648 Aug 24, 2026 #3 Hili nalo litabinafsishwa