Mradi wa Julius Nyerere wakamilisha mtambo namba nane na kuingiza umeme kwenye Gridi ya taifa

Sawa tumekusikia Kijana

Ukae ukijua hizo ni hela zetu wananchi
Kama ni kweli hongera sana walipa Kodi wa nchi hii
 
Habari mbaya kwa wachawi wote hata walio wahi ongoza hiyo wizara miezi nane iliyopita!
 
Ana hoja huyu usimtukane we chawa wa watawala
Kama mwanzo mliwasha mgawat 235
Inakuwaje mnawasha turnibine ya pili output ibakie 235 mgw

Semeni kwa kijiamini tumeinhiza 470MGW kwenye gril ya taifa

Mimi sizidhangai taarifa zenu maana mmejaa uongo na ulsghai

Bado mgawo wa umeme upo
Hatuoni impact ya ongezeko la MGW 470

Hakikisheni bei ya unit Moja inashuka Toka ,498 kwh mpaka angalau 150kwh
Vinginevyo hawaelewi kabisa

Huwezi wekeza matril ya hela alafu ukashindwa punguza hela umeme kwa unit wakati nakamuliwa kulipa deni la tsh 92 tril
 
Kipindi limesuasua mlisema Samia kafeli, likifanikiwa ndio sifa kwa JPM. Kama sio unafiki ni nini
Wanacheza na hisia zako nini..! Lia machozi ya damu wakuelewe kwamba hujawahi mkubali JPM na ingawa huo ndio ukweli mlimpinga sana kwenye hili na sasa hamtaki tena kuelewa kwamba lilikuwa jambo zuri kwa nchi
 
235 (Namba 9) + 235 (Namba 8) = ?

Ova

MAOFISA WA MWASILIANO / HABARI WAWE WAKWELI KTK TAARIFA ZAO KWA UMMA

Tanzania nchi ya ajabu katika kutoa taarifa, hutoa habari nusu nusu badala ya kusema katika mradi wa kuzalisha umeme bwawa la JNHPP RUFIJI kati ya vinu (turbines) tisa, hadi sasa wamefanikiwa kufunga na kuzalisha umeme katika vinu / turbine namba 9 na namba 8 tu huku vinu 7 bado kazi inaendelea kuvifunga ili kuongeza uzalishaji umeme kwenda gridi ya taifa.

Taarifa nusunusu za kisiasa zinaleta mtafaruku kwa kuwa uzalishaji unaonekana kwa mwananchi wa kawaida kama vile vinu vyote tisa sasa vinazalisha umeme wakati siyo kweli ni vinu viwili tu ndivyo vinazalisha.

Ukija kwa reli mpya SGR pia taarifa vinatolewa kisiasa kama vile sasa mradi wote wa SGR umekamilika kumbe ni kipande cha Morogoro na kinasafirisha abiria tu.

Maofisa habari wa taasisi za umma na wizara wajifunze kutoa taarifa sahihi, kamilifu na zinazotoa picha halisi ya miradi ilipofikia waache kuwa chombo cha mawasiliano kwa ajili ya propaganda.

Suala la propaganda waachiwe makada wa CCM na UVCC wakiwa katika shughuli zao za kichama n.k. Maofisa mawasiliano, habari na wataalamu setikalini watoa taarifa sahihi, kamilifu na zenye picha halisi miradi ilipofikia.
 
Kumbuka jpm aliishia 23% tu. Mama amejenga zilizobaki. Sasa aliyejenga nani. Jpm hela ilikata
 
Uneongea kitu dahihi kaka
Ila wa tz wengi ni wa.....
Kwanza hawajiulizi
hawapambanui
Hawaghabui
Wanapenda story kuzidi uharisia
Siass imeshika hatam
Tumbo ndio kitu cha kwanza na sio nchi
Kila mtu anaweza jinsi ya kuendelea kula na sio kunufaika kwa taifa hili
 

Matatizo makubwa sana, na wananchi wanabaki kujiuliza maswali mengi kutokana na kwa macho ya nyama mawili au matumizi ya nishati ya umeme wanaona tofauti kubwa kati ya wanayosoma au kusikia kutoka kwa wasemaji wa serikali na yale yaliyo halisi. Kumbe wamepigwa kitu kizito cha propaganda.
 
Acheni unafiki, kipindi bwawa limesuasua mlisema mama hawezi kamilisha mradi. Mmeona amefanikiwa ndio sifa mnataka za JPM.
We zoea tu sisi ni wanafiq mnoooo

Kukamilisha miradi mikubwa ya matrilioni miwili sio mchezo

Mwamba aliitosa mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…