Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kilimo cha biashara ni njia ya kujitoa katika umasikini. Mtaji katika kilimo hiki ni changamoto kubwa.
Wazo lililopo ni kuunganisha nguvu na ujuzi wa watu mbali mbali. Wahitimu wa kilimo, uhandisi, HR, accounts, marketing nk waungane na kuunda kampuni.
Eatafute eneo kuanzia heka 20, wa kilimo watasimamia field, marketing wanatafuta masoko ya ndani na ya nje, wahandisi watasimamia mashine, kuanzia za kilimo mpaka za kufungia bidhaa.
Hawa wasomi wakishakamilisha haya yote, waweke wazo hadharani na kutafuta wadau wa kuchangia. Ni kama kuuza hisa. Wanaotaka kujiunga wachangie kuanzia US $1,000.
HR watahudika na ajira za wafanyakazi. Kampuni inunue malori ya kusafirishia bidhaa na kuhakikisha kuna ghala la kujifadhia bidhaa Kibaha au Dar kabla hazijasafirishwa nje ya nchi.
Kwa utafiti wangu, maharage ni zao la chakula ambalo linauzika sana, hasa nchi za asia ambako matumizi ya nyama si makubwa.