Mradi wa Kuku wa Kienyeji

Mradi wa Kuku wa Kienyeji

pamoja na kuwa mbali dunia ni kijiji sasaivi kutokana na emails na simu waweza fanya biashara toka huko uliko ukaja na idadi yako kamili mradi uwe umeishapata soko la uhakika. Pia waweza fanya kwa kutumia soko la mwingine sijui ni outsourcing incase yeye wake bado au hana kwa wakati huo. Tatizo wakulima wengi hatuna umoja hivyo tunashindwa kushika masoko makubwa ya mahoteli na supermarket maana once ukiambiwa uwe unaleta kuku say 500 kwa siku utaishia kupotea maana ni impossible wakati kwa umoja tungeweza shika soko na leo akileta Kubota kesho Neggir, Elifaz etc soko linakuwa maintained wanachofanya RIU hao wakenya ni kuwakusanya kuku huko mashambani na kuwauza huku mjini. Sio lazima umoja ila walau mawasiliano nadhani tunahitaji kitu kama network na standardized format ya aina ya mazao yanayohitajika kwa mwezi sijui ninaeleweka?

Kuna jamaa yangu alikuwa amepata soko la kuuza kuku wakienyeji saba tu kwa siku kwenye hotel moja, alishindwa aliuza kwa mwezi mmoja tu kuku wakaisha bandani kwake, akawa ananunua kwa watu wengine akawa hapati anaowahitaji na kwa uhakika na kununua sokoni ikawa haimlipi sana kutokana na bei ya manunuzi na mtaji wake kuwa ni kidogo. network ni nzuri sana kama unavyosema mama Joe.
 
Alio sema mama Joe kuhusu network ni idea nzuri sana. Kuna uwezekano mkubwa wa kufuga kuku huko vijijini lakini mtu unajiuliza je nitaweza kuuza huko kwenye mji mkubwa, nitapata soko??
Panatakiwa kuwepo kama middleman hivi wenye ofisi, huyo yeye anajua mahali pa kusupply, na waliokua vijijini wa kontakt na huyo mtu au ofisi.
Mimi binafsi nimejaribisha kufuga huko vijijini, nia yangu ilikiu nifuge na kuweza kusupply kuku 1000 kwa mwezi, kwanza nimjaribisha kidogo tu kama kuku 250, wamesha kua wakubwa na majogoo nimesha anza kuyauza, lakini bei ya vijijini wanataka jogoo kwa 7000 wakati huyo jogoo nasikia ni 15000 DAR, Kwa sasa nimeuza kwa bei ya 10000.
Ni vizuri kutumia mitandao ili kuweka mambo wazi na kuweza kupata communication ya wafanya biashara wengine. Leo hii kama mama joe hana uwezo wa kusupply kuku 500 labda ninao mimi au jirani au mtu mwingine.

Kitu cha muhimu sana ni hawa watu wa middle man asiwe mtu mmoja au wawili yaani biashara isiwe monopol, kwani hapo ndio bei inaporomoka, lakini wkiwepo kama 5 au 10 huyu akisema bei ndogo unawasiliana na mwingine.
 
mimi nitakuwa mmojawapo wa wataofata.

Sio utani, nimemwalika mama Joe aje atembelee shamba langu ili achangie mawazo. Nataka kufuga kufuga kienyeji hasa ili nifikie viwango vya ubora wa kuku wa kienyeji.
 
Alio sema mama Joe kuhusu network ni idea nzuri sana. Kuna uwezekano mkubwa wa kufuga kuku huko vijijini lakini mtu unajiuliza je nitaweza kuuza huko kwenye mji mkubwa, nitapata soko??
Panatakiwa kuwepo kama middleman hivi wenye ofisi, huyo yeye anajua mahali pa kusupply, na waliokua vijijini wa kontakt na huyo mtu au ofisi.
Mimi binafsi nimejaribisha kufuga huko vijijini, nia yangu ilikiu nifuge na kuweza kusupply kuku 1000 kwa mwezi, kwanza nimjaribisha kidogo tu kama kuku 250, wamesha kua wakubwa na majogoo nimesha anza kuyauza, lakini bei ya vijijini wanataka jogoo kwa 7000 wakati huyo jogoo nasikia ni 15000 DAR, Kwa sasa nimeuza kwa bei ya 10000.
Ni vizuri kutumia mitandao ili kuweka mambo wazi na kuweza kupata communication ya wafanya biashara wengine. Leo hii kama mama joe hana uwezo wa kusupply kuku 500 labda ninao mimi au jirani au mtu mwingine.

Kitu cha muhimu sana ni hawa watu wa middle man asiwe mtu mmoja au wawili yaani biashara isiwe monopol, kwani hapo ndio bei inaporomoka, lakini wkiwepo kama 5 au 10 huyu akisema bei ndogo unawasiliana na mwingine.

Ni vizuri huyu mtu unayependekeza kuwa mtu wa kati awe anafuga pia, vinginevyo tutatengeneza k/koo nyingine.
 
Asante kwa michango kuwa na market network sio udalali ni kama vyama vya ushirika vya mazao mbalimbali ili kuweza 1. kumudu kupata soko zuri kwa umoja 2. kuweza kuzuia kupunjwa kwa bei ikiwa kila mmoja anauza kivyake: mnunuzi akishindana na huyu anaenda kwa mwenye njaa ananunua lakini akijua wengi wameungana na bei ni moja inabidi anunue 3. kurahishisha upatikanaji wa masoko sio kuku tu hata mazao mengine kiurahisi: mimi mwezi huu nina kuku 200, kila mdau anao 200, 300 1000 hivyo tunapanga bei ni kiasi hiki na kuku wa aina gani wanatakiwa kila mwezi 1000 hapa ni kiasi cha kuwasiliana nani zamu walete hao kuku mwezi huu, ujao nk. Mtu unakuwa na assurance kuwa mwezi ujao nitapokea malipo toka hotel, soko, kiwanda kwa kuku wangu 200 sio kuhaha hadi kuacha shughuli nyingine 4. inatuwezesha ku plan ukiwa na uhakika kuwa ifikapo tarehe Fulani nitapokea malipo ambayo yataenda kuwekezwa au kufanyia kitu kingine - kwa hiyo inakuwa ni good source of income
 
kuhusu monopoly hii haiwezekani kwa sababu ni umoja hivyo inakuwa ni kama ki ushirika mmetafuta tenda, lakini ili kuweza kufanya biashara ya wanaofuga tofauti itabidi kuwe na some sort of depot ambapo mifugo italetwa ili kukusanywa na mnunuzi atachukulia hapo so ni transparent na mdau yoyote anaweza kuwepo kuona inavyofanyika na pia tenda kutolewa nani asimamie (part time), wapi iwe deport, malipo yaweje, bei kwa mwezi huu etc. Monopoly na Kkoo iko kule RIU wanachukua kwa 5000 kuku wa kienyeji ingawa sina uhakika hadi sasa. Maoni na ujuzi zaidi kwenye hili yanahitjika
 
Sorry Brown73 middle men hatuwahitaji hapo ndo mwanzo wa kupunjwa, wote wawe wana kuku wa kufuga na kuleta tukianza kuleta ubabaishaji tutashindwa kushika soko kwani dalali hana kuku anavizia wa bei rahisi ukimwezkea zamu akiwa hana au hawana kiwango unaharibu kabisa na nadhani kinachohitajika ni kuku kuletwa depot or two days before deadline ya mnunuzi kuja kuchukua incase walioletwa sio wa viwango au wachache mdau mwingine ataombwa alete ili kufnaya idadi itimie. Sasa ukileta middlemen haifai kabisa.
Alio sema mama Joe kuhusu network ni idea nzuri sana. Kuna uwezekano mkubwa wa kufuga kuku huko vijijini lakini mtu unajiuliza je nitaweza kuuza huko kwenye mji mkubwa, nitapata soko??
Panatakiwa kuwepo kama middleman hivi wenye ofisi, huyo yeye anajua mahali pa kusupply, na waliokua vijijini wa kontakt na huyo mtu au ofisi.
Mimi binafsi nimejaribisha kufuga huko vijijini, nia yangu ilikiu nifuge na kuweza kusupply kuku 1000 kwa mwezi, kwanza nimjaribisha kidogo tu kama kuku 250, wamesha kua wakubwa na majogoo nimesha anza kuyauza, lakini bei ya vijijini wanataka jogoo kwa 7000 wakati huyo jogoo nasikia ni 15000 DAR, Kwa sasa nimeuza kwa bei ya 10000.
Ni vizuri kutumia mitandao ili kuweka mambo wazi na kuweza kupata communication ya wafanya biashara wengine. Leo hii kama mama joe hana uwezo wa kusupply kuku 500 labda ninao mimi au jirani au mtu mwingine.

Kitu cha muhimu sana ni hawa watu wa middle man asiwe mtu mmoja au wawili yaani biashara isiwe monopol, kwani hapo ndio bei inaporomoka, lakini wkiwepo kama 5 au 10 huyu akisema bei ndogo unawasiliana na mwingine.
 
Jamani nataka kuanza na mimi ufugaji wa kuku wa kienyeji huku moshi,nahitaji mashine ya kuangua vifaranga kama 200
 
Hapo nakubalina na wewe Mama Joe. Inabidi sasa tuanze mshikamano huo hata mimi nitapata nguvu sasa ya kuendelea kufuga. Kufuga kuku 200 au 300 kwangu si kazi na bali lengo langu ni ku deliver kuku 1000 kwa mwezi ndio angalau itaweza kunilipa hata kama nikiacha kazi zangu zingine.
 
Asante Brown73 wengi hapa ndio tumeanza kufuga taratibu sasa tutamwomba Malila ameishawahi kupanga chai day mwaka huu ya pili inakuwa August nadhani tutakayeweza kukutana pembeni ya wenye mradi wa misitu ingekuwa poa au tukapanga baadae lakini kila mmoja aendelee kuwekeza ila tukikutana ni kupeana majukumu kuanza kusaka tenda tukijua uwezo wetu kwa ujumla itakuwa tenda za kiasi gani nk
Hapo nakubalina na wewe Mama Joe. Inabidi sasa tuanze mshikamano huo hata mimi nitapata nguvu sasa ya kuendelea kufuga. Kufuga kuku 200 au 300 kwangu si kazi na bali lengo langu ni ku deliver kuku 1000 kwa mwezi ndio angalau itaweza kunilipa hata kama nikiacha kazi zangu zingine.
 
Nimeanza ufugsji wa kuku wa kienyeji 30 baada ya kupata shule humu jf. Natafuta vifaranga at least niwe na kuku 100
 
Kama kuna mutu amewahi kufuga hawa kuku ,unaweza nisaidia kwa wasitani kuku mumoja anagarimu shilingi ngapi ukitoa gharama ya Banda
 
Naomba kufafanua swali langu hapo juu,ninamaana wastani wa gharama ya kununua kifaranga,chakula, na matibabu mpaka anaaza kuzaa.ninamaana ya kuku aina ya Kuchi
 
ingawa sifahamu kuchi wanachukua muda gani kukua hadi kuuzwa ila mambo ya gharama za ufugaji, vyakula na mengine vimejadiliwa sana na RETI, Kubota na Kichwambovu hivyo search hawa jamaa utapata pa kuanzia kwenye jukwaa hili la ujasiriamali
Naomba kufafanua swali langu hapo juu,ninamaana wastani wa gharama ya kununua kifaranga,chakula, na matibabu mpaka anaaza kuzaa.ninamaana ya kuku aina ya Kuchi
 
wale vifaranga wa kienyeji waouzwa pale tazara ambao wanasema ni chotara,je wanauwezo wa kuatamia mayai? pia mimi ninao kuchi wana miezi kama miwili na nusu nilikua naomba kujua ukuaji wao upoje na soko lao
 
Back
Top Bottom