Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

🙂 haha, hiyo picha ya mwisho chini ni screenshot kutoka google map, nilicopy mwenyewe, na si ya mwezi huu ni kitambo kidogo. kwa sasa hapo patakua na mabadiliko makubwa sana, kama kuna mdau anaweza kuchungulia kwenye mabati atu update kidogo
Thanks Mkuu NDINDA, nimecheck Google Earth inaonyesha picha ni ya 19 February 2012. Mazoea ya kutegemea Internet, tumekuwa wavivu kuleta taarifa halisi; Ferry pale tunapita kila siku lakini ni nadra mtu akachukua picha na kuleta hapa jamvini; mimi mwenye mmojawapo, badala yake tuna google tukichadina zinajileta humo zenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu basi ukiwa na chance fanya mpango hata chungulia kwenye mabati pata snepu mbili tatu, pia kama utaweza kuomba upande kwenye huo mnara wa sumatra, waombe upige picha mbili tatu, hasa skyline yetu inayokuja kwa kasi, sisitiza hutapiga picha ya ikulu wanaweza kukuruhusu, au kama unawaamini wape kamera au simu wakupigie wenyewe halafu wakuletee chini🙂 , kama inawezekana lakini mkuu.
 
MOROGORO/LUMUMBA RD TODAY 4 JUNE 2013






 

Wanasubiri wakimaliza DART warudi tena na mradi mwengine dah aisee wanatuchosha kwa kweli. Bora wangefanya vyote pamoja wakimaliza wamemaliza.
 
Wanasubiri wakimaliza DART warudi tena na mradi mwengine dah aisee wanatuchosha kwa kweli. Bora wangefanya vyote pamoja wakimaliza wamemaliza.

Mkuu Maundumula,

Unfortunately they don't think that way!!!!!!

Tiba
 
funguka mkuu kigogo, itakuwa bora hayo mapugufu ukayaweka hapa itasaidia wahusika kurekebisha inapobidi. Kumbuka dart ni kwa ajili yetu walalahoi, mafisadi wanatumia usafiri binafsi.

tatizo la huyu jamaa huwa ana comment zinazofanana na avatar yake!
 
Mradi utakamilika mwaka 2055
watu wamejawa mawazo negative matupu. mawazo kama haya yanaweza kudiscourage umma, ukawa mmojawapo wa watu wanaoangamiza hili taifa. pembua utaelewa ninachomaanisha.
 


 
Last edited by a moderator:
Golly cow! tumechoka na beautiful demos na mapicha ya mafanikio ya nchi zingine na mapicha ya ujenzi ukiendelea na ahadi kemkem na ...sasa tunataka kuona kitu chenyewe halisia kikiwa hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…