Thanks Mkuu NDINDA, nimecheck Google Earth inaonyesha picha ni ya 19 February 2012. Mazoea ya kutegemea Internet, tumekuwa wavivu kuleta taarifa halisi; Ferry pale tunapita kila siku lakini ni nadra mtu akachukua picha na kuleta hapa jamvini; mimi mwenye mmojawapo, badala yake tuna google tukichadina zinajileta humo zenyewe.🙂 haha, hiyo picha ya mwisho chini ni screenshot kutoka google map, nilicopy mwenyewe, na si ya mwezi huu ni kitambo kidogo. kwa sasa hapo patakua na mabadiliko makubwa sana, kama kuna mdau anaweza kuchungulia kwenye mabati atu update kidogo
Last edited by a moderator:






