watu wamejawa mawazo negative matupu. mawazo kama haya yanaweza kudiscourage umma, ukawa mmojawapo wa watu wanaoangamiza hili taifa. pembua utaelewa ninachomaanisha.
Wanasubiri wakimaliza DART warudi tena na mradi mwengine dah aisee wanatuchosha kwa kweli. Bora wangefanya vyote pamoja wakimaliza wamemaliza.
usijali, mradi huu ulianza kuongelewa zaidi ya miaka kumi iliyopita, sasa ujenzi umeanza na world bank washatoa hela, ukiangalia kivukoni kazi imeshaanza, tusubiri kwani pia kuna wamiliki daladala ambao wanaona mradi huu utaua biashara yao, viongzi wetu wametufanyia mambo mpka hatuamini wanachokisema, teh teh, nami nasema nasubiri kuona mabasi hayao yanaanza kufanya kazi.
usijali mkuu , hivi ni kwa kua unaona kwenye render na katika angle tofauti, hawawezi kujenga wakati wote huo halafu isipitike, wana vipimo mkuu, kwa hiyo tulia mambo yatakua shwari
Mkuu ukiangalia hizo kona kwenye upanuzi wa vituo ni kama angle za kwenye ujenzi wa nyumba. Tairi la gari linaweza kukata kona namna hiyo kweli?
usijali mkuu , hivi ni kwa kua unaona kwenye render na katika angle tofauti, hawawezi kujenga wakati wote huo halafu isipitike, wana vipimo mkuu, kwa hiyo tulia mambo yatakua shwari
Ukifika Jangwani hii ndiyo view ya mjini kama unavyoona kwa mbali
Unaambiwa hapa ndiyo ndani ya jengo na kutakuwa na migahawa na bar kwa ajili ya abiria kusubilia mabasi yafike
Ukiwa bar au restaurant, hii ndiyo view yako ambayo ni parking ya mabasi yenyewe. Basi likifika unaenda zako kupanda
Mabasi yatakuwa yanajipanga hapa
Pembeni ya jengo kuna ofisi na garage ya hayo mabasi
Haya mabomba yanatumika kujenga mfumo mzuri wa maji taka kwasababu mitalo mingi imefukiwa ili barabara ijengwe.
Ilikuwa ni jumapili lakini kazi inaendelea kama kawaida
Ukitoka Jangwani ukafika mbele kidogo Magomeni Usalama, kituo kishawekwa hadi kibao cha utamburisho wa kituo.
Mtu wangu wa nguvu, hapohapo Magomeni pia kuna tawi la NMB Bank. Unaweza kufika na kujipatia huduma za kibenki pia.
Vituo vya haya mabasi ni virefu kama unavyoona mwenyewe
Safari ilifika Manzese, huu ni muonekano wa maendeleo ya barabara kutoka kwenye daraja la Manzese. Unaweza kuona kituo kwa mbali.
mipini ya kijitonyama ileeeee kwa mbali
Questions that I ask myself:
DAR ES SALAAM INAWEZA KUPENDEZA by mjengwablog
Questions that I ask myself:
1. Was it that necessary kumwaga zege?
2. ikitokea daladala imeharibikia katikati ya barabara wa nyuma wataovertake vipi considering kizuizi
kilichowekwa kutenganisha
3. kama barabara ya kati ndo ya daladala watu wataifikiaje? itabidi wavuke barabara ya nje
ambayo ni risky na magari yatapoteza mda kusubiri watu wavuke
4. hivi vituo wajenga utafikiri nyumba was it necessary kutumia hela nyingi kujenga kubwa kiasi hiki?
alafu zingine ziko karibu chini ya mita 200!! what a waste
5. ingejengwa bypass toka mbezi kwenda hadi tazara ingepunguza foleni morogoro road na nelson mandela road
inayosababishwa na malori
pata picha mkuu, hapa inaweza kusaidia kidogoQuestions that I ask myself:2. ikitokea daladala imeharibikia katikati ya barabara wa nyuma wataovertake vipi considering kizuizi kilichowekwa kutenganisha3. kama barabara ya kati ndo ya daladala watu wataifikiaje? itabidi wavuke barabara ya njeambayo ni risky na magari yatapoteza mda kusubiri watu wavuke