Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

Mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) na Dar es Salaam Rapid Transit (DART)

watu wamejawa mawazo negative matupu. mawazo kama haya yanaweza kudiscourage umma, ukawa mmojawapo wa watu wanaoangamiza hili taifa. pembua utaelewa ninachomaanisha.

Watu kama hao wasikukatishe tamaa kila mahali wapo, na mara nyingi ni walioshindwa na Maisha na wanaishia tu kulalamika na kulaumu CCM na Serkali kwa kila kitu, hata uwafanye nini watalaumu tu!
 
Wanasubiri wakimaliza DART warudi tena na mradi mwengine dah aisee wanatuchosha kwa kweli. Bora wangefanya vyote pamoja wakimaliza wamemaliza.

flyovers zinaweza kujengwa out of site....zikaletwa pale zikapachikwa kwa muda mfupi sana bila kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji barabara....nimeshaona sehemu wanajenga intersections sehemu fulani zikabaki wazi nikawa najiuliza hapa watajenga vipi au wanataka kuja kufanya nn....kuja kesho yake asubuhi wameziba ile gap kama hapakuwa wazi......
 
Hivi sisi flyover walisema wanaweka ubungo, tazara na wapi vile?
 
usijali, mradi huu ulianza kuongelewa zaidi ya miaka kumi iliyopita, sasa ujenzi umeanza na world bank washatoa hela, ukiangalia kivukoni kazi imeshaanza, tusubiri kwani pia kuna wamiliki daladala ambao wanaona mradi huu utaua biashara yao, viongzi wetu wametufanyia mambo mpka hatuamini wanachokisema, teh teh, nami nasema nasubiri kuona mabasi hayao yanaanza kufanya kazi.

mkuu daladala kama hatuchoki nazo basi tunalaana, magari hayatosho tunapumulina kaka ndege'/ hapana mkuu inatosha
 
DSC03435.jpg


IMG_6691_zps9fe9ff68.jpg


Mkuu ukiangalia hizo kona kwenye upanuzi wa vituo ni kama angle za kwenye ujenzi wa nyumba. Tairi la gari linaweza kukata kona namna hiyo kweli?
 
DSC03435.jpg


IMG_6691_zps9fe9ff68.jpg


Mkuu ukiangalia hizo kona kwenye upanuzi wa vituo ni kama angle za kwenye ujenzi wa nyumba. Tairi la gari linaweza kukata kona namna hiyo kweli?
usijali mkuu , hivi ni kwa kua unaona kwenye render na katika angle tofauti, hawawezi kujenga wakati wote huo halafu isipitike, wana vipimo mkuu, kwa hiyo tulia mambo yatakua shwari
 
usijali mkuu , hivi ni kwa kua unaona kwenye render na katika angle tofauti, hawawezi kujenga wakati wote huo halafu isipitike, wana vipimo mkuu, kwa hiyo tulia mambo yatakua shwari

Mkuu sio kwa kuwa naona kwenye angle tofauti. Hizi barabara nazipita kila siku, angalia kwenye hizo corner tyre za magari zilivyokanyaga na kuharibu hizo kingo kabla hata barabara kuanza kutumika rasmi ndo utapata idea ya swali ninalouliza hapa.
 
THE PHOTOS ARE FROM TODAY TO THE LAST TWO MONTHS, FROM A PERSON ON SITE ON HIS INSTAGRAM

96427a5ad1e211e2914022000a9e0653_7.jpg


028cd9e4d03511e2aeda22000a1f973b_7.jpg

378ca89ad0e911e2ada322000a1fbcdb_7.jpg

1ad7a0a4d38411e2be2c22000a9f391c_7.jpg

4db5d73ce5b511e2b41b22000a1f9a15_7.jpg

c28364d6f2e811e28c4722000a9f1966_7.jpg

523b52e2f2e811e2ba9922000a1f9c9a_7.jpg

2c066972d02e11e2bba622000a1fbc9c_7.jpg

e499fb34ba4411e2a46122000a9f09e2_7.jpg


4eb46006b8d611e281d822000a1f9682_7.jpg

26c0ec8a84e811e29e9622000a9f09f1_7.jpg
Marquinho74's Instagram photos | Webstagram - the best Instagram viewer
 
Last edited by a moderator:
UPDATES FROM millardayo.com


P8040002.jpg

Ukifika Jangwani hii ndiyo view ya mjini kama unavyoona kwa mbali

P8040033.jpg


P8040005.jpg

P8040006.jpg

P8040009.jpg

Unaambiwa hapa ndiyo ndani ya jengo na kutakuwa na migahawa na bar kwa ajili ya abiria kusubilia mabasi yafike
P8040010.jpg

Ukiwa bar au restaurant, hii ndiyo view yako ambayo ni parking ya mabasi yenyewe. Basi likifika unaenda zako kupanda
P8040011.jpg

Mabasi yatakuwa yanajipanga hapa
P8040013.jpg

Pembeni ya jengo kuna ofisi na garage ya hayo mabasi
P8040017.jpg

Haya mabomba yanatumika kujenga mfumo mzuri wa maji taka kwasababu mitalo mingi imefukiwa ili barabara ijengwe.
P8040022.jpg

Ilikuwa ni jumapili lakini kazi inaendelea kama kawaida
P8040024.jpg

Ukitoka Jangwani ukafika mbele kidogo Magomeni Usalama, kituo kishawekwa hadi kibao cha utamburisho wa kituo.
P8040023.jpg

Mtu wangu wa nguvu, hapohapo Magomeni pia kuna tawi la NMB Bank. Unaweza kufika na kujipatia huduma za kibenki pia.
P8040025.jpg

Vituo vya haya mabasi ni virefu kama unavyoona mwenyewe
P8040030.jpg

Safari ilifika Manzese, huu ni muonekano wa maendeleo ya barabara kutoka kwenye daraja la Manzese. Unaweza kuona kituo kwa mbali.
P8040033.jpg

P8040034.jpg

P8040036.jpg


P8040037.jpg

mipini ya kijitonyama ileeeee kwa mbali
P8040039.jpg


P8040040.jpg

P8040042.jpg

P8040043.jpg

P8040044.jpg

P8040045.jpg

P8040046.jpg

P8040049.jpg

P8040047.jpg

P8040050.jpg

P8040053.jpg
 
Hii Kitu haishi tu Kampuni ya Watu Magoigoi
 

DAR ES SALAAM INAWEZA KUPENDEZA by mjengwablog


dsm_e9daa.jpg
Questions that I ask myself:
1. Was it that necessary kumwaga zege?
2. ikitokea daladala imeharibikia katikati ya barabara wa nyuma wataovertake vipi considering kizuizi
kilichowekwa kutenganisha
3. kama barabara ya kati ndo ya daladala watu wataifikiaje? itabidi wavuke barabara ya nje
ambayo ni risky na magari yatapoteza mda kusubiri watu wavuke
4. hivi vituo wajenga utafikiri nyumba was it necessary kutumia hela nyingi kujenga kubwa kiasi hiki?
alafu zingine ziko karibu chini ya mita 200!! what a waste
5. ingejengwa bypass toka mbezi kwenda hadi tazara ingepunguza foleni morogoro road na nelson mandela road
inayosababishwa na malori
 
Questions that I ask myself:
1. Was it that necessary kumwaga zege?
2. ikitokea daladala imeharibikia katikati ya barabara wa nyuma wataovertake vipi considering kizuizi
kilichowekwa kutenganisha
3. kama barabara ya kati ndo ya daladala watu wataifikiaje? itabidi wavuke barabara ya nje
ambayo ni risky na magari yatapoteza mda kusubiri watu wavuke
4. hivi vituo wajenga utafikiri nyumba was it necessary kutumia hela nyingi kujenga kubwa kiasi hiki?
alafu zingine ziko karibu chini ya mita 200!! what a waste
5. ingejengwa bypass toka mbezi kwenda hadi tazara ingepunguza foleni morogoro road na nelson mandela road
inayosababishwa na malori

1. zege ndio mwazno mwisho mkuu, jaribu ku google kwa nini wanajenga barabara za zege, utagundua ni smooth na imara
2. Nadhani kuna lane mbili mkuu, ila unaweza kutafuta ushauri zaidi kwa wahusika na wataalamu
3. ukirudi nyuma chapter kadhaa, utakua video jinsi BRT ina run, angalia watu wanafikaje kwenye vituo na wanatokaje. pia nenda yutube katafute video za BOGOTA TRANSMILLENIO BRT, mfumo ambao DART inaufuata kama ulivyo, hivyo basi, kazi bado inaendelea, vitu vingine ni vizuri vikiwa judged baada ya final product kupatikana
 
Questions that I ask myself:2. ikitokea daladala imeharibikia katikati ya barabara wa nyuma wataovertake vipi considering kizuizi kilichowekwa kutenganisha3. kama barabara ya kati ndo ya daladala watu wataifikiaje? itabidi wavuke barabara ya njeambayo ni risky na magari yatapoteza mda kusubiri watu wavuke
pata picha mkuu, hapa inaweza kusaidia kidogo
4.jpg
 
Hii yote inasababishwa na kuwa na maofisa wa mipango miji ambao hawaoni mbali. Mpaka sasa utashangaa kwenye miji ambaoyo bado michanga, hawafikirii kabisa kwamba ipo siku miji hiyo itakuwa majiji, sasa kaangalie mipango ya miji inachekesha sanaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1 Siku zijazo wataanza kubomoa majumba ya watu tena eti wanapanua barabara ajabu sanaA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pedestrian crossings; bila shaka hii itajibu baadhi ya maswali waliokuwa wanauliza wadau kwenye uzi huu.

010.jpg

Daraja la wavuka kwa miguu lililopo Kimara likiwa kati hatua za mwisho za ujenzi.

Mrc2.jpg

Mrc.jpg

Daraja la wavuka kwa miguu linaloendelea kujengwa Kinondoni Morocco, likiendelea na ujenzi.

Picha kwa hisani ya SUFIANI MAFOTO
 
Back
Top Bottom