Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
watu wamejawa mawazo negative matupu. mawazo kama haya yanaweza kudiscourage umma, ukawa mmojawapo wa watu wanaoangamiza hili taifa. pembua utaelewa ninachomaanisha.
Watu kama hao wasikukatishe tamaa kila mahali wapo, na mara nyingi ni walioshindwa na Maisha na wanaishia tu kulalamika na kulaumu CCM na Serkali kwa kila kitu, hata uwafanye nini watalaumu tu!



