Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

But mkuu kuna factors hauja consider kwenye argument yako hapo juu as corrects as it is.

1. Mwinyi mkubwa haja muappoint mwanae in any public position. Mifano yako hapo juu ni ya a sitting president kumuappoint ndugu yake kwenye public position.

2. Hakuna ushahidi ulio tolewa so far kwamba Mwinyi mdogo kapata hizo nyumba illegally directly through his father.
MwanaF,
Ni kweli baba mtu hakumuappoint mwanaye kwenye public position. Hata Mkapa hajaapoint wanae kwenye public position. Lakini walichofanya hawa jamaa ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika position ya kupata "vitu" ambavyo isingekuwa rahisi kwao kuvipata kama wazazi wao wasingekuwa marais wa nchi. Hii imeshathibitishwa. Kwa upande wa Mwinyi alimpa mwanae mkataba wa kuingiza magari ya kijeshi. Hilo halipingiki. Pili mwanae alipata nyumba ya national housing bila kulipa chochote. Hilo pia halipingiki. Kuna wakati nilikuwa nimemtembelea marehemu Rutihinda (former gov of BOT) Tumekaa kwa mazungumzo akaja mwanae Mwinyi.Wakaenda chumba kingine kwa mazungumzo. Aliporudi Gavana akatwambia mgeni wake alikuwa amekuja kuomba hela za BOT. Kama huo si ufisadi niambie what is! Hawa walianza zamani jamani, wala msiwatetee.
 
mkuuu ukigusa maslahi ya watu ""binafsi"" lazima wakimbizane na wewe
 
Mwanakijiji alituambia hapa JF kuwa "tunapenda mambo mepesi mepesi" yuko sahihi kabisa. Tunapenda kujadili watu na matukio.

Ufike wakati tuangalie MFUMO tulio nao...kutoka chini mpaka ngazi ya Rais. Then, tuone iwapo mambo kama haya yataendelea kutokea...

ULITAKA TUJADILI MAMBO YA KIKUBWA PEKE YAKE???
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..
He! wewe vp? mbona unakurupuka tu? au Hussein Mwinyi anajiexpress himself kwako manake kibaba cha Zanziberi kile!
Ukitaka heshima kwa nguvu utainunua dharau kwa bei chee.
Ukome kuandika upupu wako humu
 
Nashawishika kuamini yawezekana ndiye au shemeji mtu dah hii kauli ya kupanic mmmh
 
Watu ni wapumbavu sasa kujenga apartment ndio ufisadi? Ever heard of a F**K*N BANK? Yani hii JF imekuwa choo cha baa..

Jamani hivi huyu Hussein si ninasikia anataka kugombea Urais wa Zanzibar? Jee itakuwaje ile sera ya kutenganisha biashara na siasa?
 
Kuna rafiki yangu Mjenz amesema Dr Mwinyi kugombea Z'bar is slap of the face for people of Zanzibar.
Anasema sio Mzanzibar kabisa!
 
I myself plan to retire with around 100 million dollars..does that mean I have ufisadi in my plans..NO way. Its just personal ambition and vision. Mtu asi invest, fisadi..
Mkuu, I can feel ya. I agree with you kabisa.

Lakini hapo kwenye red, Mkuu, make them money now....usingoje uzeeke ndo uwe nazo nyingi...get them now, na jenga ma-apartment kama hussein. Tunahitaji watanzania wafanye mambo sasa, kwa maarifa sahihi........ukipata bank sawa, ukipata kwa project za kuuza kitimoto, sawa bora ni halali na unafanya mambo na kutengeneza ajira nyingi zaidi bana!
 
Mwanakijiji alituambia hapa JF kuwa "tunapenda mambo mepesi mepesi" yuko sahihi kabisa. Tunapenda kujadili watu na matukio.

Ufike wakati tuangalie MFUMO tulio nao...kutoka chini mpaka ngazi ya Rais. Then, tuone iwapo mambo kama haya yataendelea kutokea...

ULITAKA TUJADILI MAMBO YA KIKUBWA PEKE YAKE???

Nadhani vyote viwili vinakwenda pamoja. Ni watu na matukio vinavyopelekea kuwepo kwa mifumo mibovu. Kiongozi fisadi bila shaka atahakikisha kunakuwa na mfumo mbovu utakaosaidia kulinda ufisadi wake.
 
MwanaF,
Ni kweli baba mtu hakumuappoint mwanaye kwenye public position. Hata Mkapa hajaapoint wanae kwenye public position. Lakini walichofanya hawa jamaa ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika position ya kupata "vitu" ambavyo isingekuwa rahisi kwao kuvipata kama wazazi wao wasingekuwa marais wa nchi. Hii imeshathibitishwa. Kwa upande wa Mwinyi alimpa mwanae mkataba wa kuingiza magari ya kijeshi. Hilo halipingiki. Pili mwanae alipata nyumba ya national housing bila kulipa chochote. Hilo pia halipingiki. Kuna wakati nilikuwa nimemtembelea marehemu Rutihinda (former gov of BOT) Tumekaa kwa mazungumzo akaja mwanae Mwinyi.Wakaenda chumba kingine kwa mazungumzo. Aliporudi Gavana akatwambia mgeni wake alikuwa amekuja kuomba hela za BOT. Kama huo si ufisadi niambie what is! Hawa walianza zamani jamani, wala msiwatetee.
....Weka Ushahidi acha porojo zako.....Rutihinda alikwambia kiasi gani km kampa!!!

Hivi Wakati Rutihinda ni Governor...Hussein alikuwa na Cheo gani? au alitumwa kama tunavyowatuma Wadogo zetu kwenda kwa shangazi zao...?
Hapo juu umetaja "Mtoto wa Mwinyi' hukusema nani....ili u-justify allegations zako...!!!

Hadi sasa hatujaweza onesha Huu ufisadi kaufanya wapi...!!!
a)Upatikanaji wa Kiwanja-- mwenye data za uhakika atufahamishe alipata Wakati Mzee Ruksa ni Rais....au Kiwanja kilikuwa cha Rais Mwinyi akampa mwanae? au alipata wakati wa Uuzaji wa Nyumba za serikali wakati wa Magufuli...!!!

b) Jasusi anasema Hussein Mwinyi hajakilipia hicho kiwanja...kwanza tuweke sawa hapo juu amepata thru scheme gani....ikiwa hivyo ndivyo atuwekee list/file la wale ambao hawajalipia nyumba walizouziwa na Serikali....?

c) Ikiwa Hussein Mwinyi alikuwa anapewa pesa na Rutihinda....akapewa tender za Magari ya Jeshi na Baba yake....Well... pesa zote hizo ameshindwa kulipia nyumba walizouziwa na Serikali ambazo hata Bei ya Million 20 hazikufika...?

d) Kwanamna yoyote ile ya upatikanaji wa Kiwanja...10bn amezipata kwa njia gani kujenga hilo jengo....!!!tunaweza weka sawa hilo? Je ni Mkopo...au Uwekezaji wa Ushirikiano...au Kakwapua huko JWTZ...au Kazichanga muda wote wa Tangu baba yake Rais....? Wahusika na Ma-bank watuweke wazi juu ya hilo...na Wale wajenzi nao....!!!
 
He! wewe vp? mbona unakurupuka tu? au Hussein Mwinyi anajiexpress himself kwako manake kibaba cha Zanziberi kile!
Ukitaka heshima kwa nguvu utainunua dharau kwa bei chee.
Ukome kuandika upupu wako humu

nimeupenda huo msemo!! ni sawa na ule unaosema "kama unaona elimu ina gharama kubwa jaribu ujinga".. Yaani inabeba maana nzito ambayo inazama akilini kama maji yanavyozama kwenye udongo.
 
....Weka Ushahidi acha porojo zako.....Rutihinda alikwambia kiasi gani km kampa!!!

Hivi Wakati Rutihinda ni Governor...Hussein alikuwa na Cheo gani? au alitumwa kama tunavyowatuma Wadogo zetu kwenda kwa shangazi zao...?
Hapo juu umetaja "Mtoto wa Mwinyi' hukusema nani....ili u-justify allegations zako...!!!

Hadi sasa hatujaweza onesha Huu ufisadi kaufanya wapi...!!!
a)Upatikanaji wa Kiwanja-- mwenye data za uhakika atufahamishe alipata Wakati Mzee Ruksa ni Rais....au Kiwanja kilikuwa cha Rais Mwinyi akampa mwanae? au alipata wakati wa Uuzaji wa Nyumba za serikali wakati wa Magufuli...!!!

b) Jasusi anasema Hussein Mwinyi hajakilipia hicho kiwanja...kwanza tuweke sawa hapo juu amepata thru scheme gani....ikiwa hivyo ndivyo atuwekee list/file la wale ambao hawajalipia nyumba walizouziwa na Serikali....?

c) Ikiwa Hussein Mwinyi alikuwa anapewa pesa na Rutihinda....akapewa tender za Magari ya Jeshi na Baba yake....Well... pesa zote hizo ameshindwa kulipia nyumba walizouziwa na Serikali ambazo hata Bei ya Million 20 hazikufika...?

d) Kwanamna yoyote ile ya upatikanaji wa Kiwanja...10bn amezipata kwa njia gani kujenga hilo jengo....!!!tunaweza weka sawa hilo? Je ni Mkopo...au Uwekezaji wa Ushirikiano...au Kakwapua huko JWTZ...au Kazichanga muda wote wa Tangu baba yake Rais....? Wahusika na Ma-bank watuweke wazi juu ya hilo...na Wale wajenzi nao....!!!

nimeyapenda kweli maswali yako; Dr. Mwinyi anaweza kuyajibu ili kuwazima kina Jasusi au kwa vile Jasusi hatoweza kuonesha ushahidi basi Mwinyi hana sababu ya kuyajibu?
 
teh teh eeeh eeeee.........eeee....eee.....

Uking'atwa na mbwa.......ah sorry uking'atwa na nyoka ukiguswa na jani tu...........
wanaJF washachoka story za mtindo huu na ndo hivyo mwanzo wake afu baadae ooh mara si unajua tena.
anyway tulitolee macho kama kuna lolote tusilipe macho kama misemo yetu ya asili.
 
Kuna wakati nilikuwa nimemtembelea marehemu Rutihinda (former gov of BOT) Tumekaa kwa mazungumzo akaja mwanae Mwinyi.Wakaenda chumba kingine kwa mazungumzo. Aliporudi Gavana akatwambia mgeni wake alikuwa amekuja kuomba hela za BOT. Kama huo si ufisadi niambie what is! Hawa walianza zamani jamani, wala msiwatetee.

Kaka unavyoweka ushahidi wa mtu aliyekufa kama reference yako ya kuhalalisha ufisadi wa hussein unakosea ....kwa sababu hatuna njia yeyote ya kwenda kwa rutihinda ku crosscheck..kwa njia zozote, afteral wakati wa ugavana wa ruti..huyu kijana alikuwa Turkey...

Tukubaliane tu kuwa hoja juu ya hussein hapa barazani imekuja kwa malengo maalum....kimsingi mimi namuona hana makosa ..na namuunga mkono kwa kuwa muwazi.....ukiona waziri anajiamini kuweka majina yake kwenye miradi yake basi mjuwe hana cha kuficha...na watu wa aina yake ni wachache....lazima tuunge mkono uwazi wa aina hii...ili isije kuwakatisha tamaa wanasiasa kuwa wazi kwenye interest zao...kumbuka uwazi utasaidia kupunguza ufisadii..wanaofanya kwa kuficha ...basi hawana maelezo juu ya walikopata mali zao.....

Huyu jamaa ni kati ya watanzania vijana wachache wanaojitahidi kuwekeza kwenye makazi...lazima mjuwe kuwa tanzania inakabiliwa na uhaba wa makazi na yeyote mwenye pesa au uwezo wa kupata mkopo benki basi hiyo ni fursa kwa kila mtu.......

utajiri si dhambi na waala umaskini sio laana....tuchape kazi!!

hussein hatakiwi kukatishwa tamaa....na hata kama anao mradi mwingine kesho...aendelee kubandika jina lake...hiyo itaendelea kumpa heshima kama mtu muwazi.!

nashukia sana tabia ya waswahili kurudishana nyuma pale tunapoona waswahili wenzetu wanaendelea....magorofa ya wahindi ...hakuna anayehoji jina hata kama inajulikana pesa zimetoka benki kuu au import support....wazungu wanaiba madini yetu hatusemi...tukiona mswahili anapiga hatua maneno ,maneno...ndio maana waswahili wenye nafasi wanaishia kudhulumiwa na wahindi pale wanapowaandika majina kwenye miradi....siku wakitoka madarakani muhindi anamkana....wnabaki kufa na tai shingoni!!
 
PM.. unauchukuliaje uwazi wa kina Jeetu Patel, Lukaza na wengine katika kuwekeza katika ujenzi wa majumba mbalimbali ambayo yanaweza kupangishwa kwa watu mbalimbali. Kama fedha haramu inatumika kufanya kitu chema au cha uhalali, tuwashtaki walioziiba au tuwapongeze kwa uwazi wao?

Sisemi kama Mwinyi amefanya jambo baya najaribu kupima reasoning yako tukiikubali.
 
.....naongelea uwazi wa viongozi wa kisiasa..
 
Viongozi wa kisiasa ambao pia ni wafanyibiashara. The difference is the same. Ni mara ya kwanza kusikia kuwa watu wakishakuwa marehemu hawapaswi tena kutumiwa kama reference kwa vitu vilivyotokea wakati wa uhai wao kwa sababu hawapo tena kujieleza/jitetea.. Kwa mantiki hiyo tuache kutumia reference ya mwalimu Nyerere na wote waliotangulia mbele ya haki.
 
MwanaF,
Ni kweli baba mtu hakumuappoint mwanaye kwenye public position. Hata Mkapa hajaapoint wanae kwenye public position. Lakini walichofanya hawa jamaa ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika position ya kupata "vitu" ambavyo isingekuwa rahisi kwao kuvipata kama wazazi wao wasingekuwa marais wa nchi. Hii imeshathibitishwa. Kwa upande wa Mwinyi alimpa mwanae mkataba wa kuingiza magari ya kijeshi. Hilo halipingiki. Pili mwanae alipata nyumba ya national housing bila kulipa chochote. Hilo pia halipingiki. Kuna wakati nilikuwa nimemtembelea marehemu Rutihinda (former gov of BOT) Tumekaa kwa mazungumzo akaja mwanae Mwinyi.Wakaenda chumba kingine kwa mazungumzo. Aliporudi Gavana akatwambia mgeni wake alikuwa amekuja kuomba hela za BOT. Kama huo si ufisadi niambie what is! Hawa walianza zamani jamani, wala msiwatetee.

Mkuu Jasusi, kwa vile wewe ni senior member wa JF. Unaweza kutusaidia further details za hizo allegations zako?( na hapa siongelei ushahidi wa kimahakama) tutajie tu japo kampuni iliyopewa hiyo tenda ya jeshi na mwaka gani.

Hiyo ya pili, sikujua kama ili kupata nyumba ya kupanga National Housing ya enzi hizo mtu ulihitaji kulipia chochote kupata pango, binafsi nimekulia nyumba za national housing, nilkua sijawahi kulisikia hilo. Tena miaka hiyo kodi ya mwezi NHC ilikua shs 3,000 wakati market price ilikua kwenye 30,000. Kama uchungu wako ni hizo apartments, umeambiwa zitajengwa wenye kiwanja cha nyumba aliyonunua akiwa naibu waziri afya baada ya watumishi wa serikali kuuziwa nyumba na Magufuli, lakini hili unalikwepesha na kujifanya hulijui ili kukidhi matakwa yako.

Hilo la Rutihinda ni kama mazungumzo baada ya habari. Hivi kweli hata kama watu wanataka fedha(na mwenyewe umesema wanapewa tenda nyumbani) ndio wakafate pesa kwa kuomba kienyeji namna hiyo nyumbani? kwanini Rais asimwite gavana ikulu ampe maelekezo instead atume kijana wake kienyeji?

Hii thread mpaka sasa naona imekua ni kwa wale wenye mabeef yao na utawala wa Mwinyi, for one reason or the other kuyaendeleza. As mpaka sasa tunamaliza pages and pages watu wana come up na baseless allegations bila kuonesha ufisadi ulipo, wakidhani kwa kuzirudia mara nyingi zitageuka kuwa kweli.

Mkuu Jasusi nakusihi u move on from this obsession with the Mwinyi's.
 
Alwatan,
I have moved on. Nilishawahi kusema siko Dar kwa wale wanaotaka nitoe uthibitisho.Sijasema kijana alitumwa na baba yake. Kuna wale wanaopenda kutumia majina ya wazazi wao. Lakini nachukua ushauri wako. Let us move on. Lakini tusishabikie wale wenye kaarufu ka ufisadi eti ni wafanyibiashara ilhali misingi ya biashara zao ni questionable. I move on!
N.B. Na kama amejenga hizo apartments katika kiwanja cha nyumba aliyouziwa kama waziri basi ameshakiuka masharti ya kuuziwa hiyo nyumba.
 
Dah Nimepitwa na mambo:

Hivi mfanyakazi wa SERIKALINI anayefanya kazi zake kwa haki bila rushwa anaweza kukusanya (baada ya kulipia ada na matumizi ya familia) au kuwa na mali za shillingi billioni hata moja?

Jamani kukaa kwetu nje sana isiwe sababu ya kutojua hali halisi ya TZ. Kama u mtu wa haki na hakuna kupindisha mambo hata ukifanya kazi miaka 50 serikalini huwezi kuwa na billioni moja worth of ASSETS.

Na hujengi au kupanga kujenga Nyumba ya billion kumi kama huna ASSETs au collateral security angalau ya 2.5billion.

Mi nadhani Jasusi alikuwa na points tatizo alimhusisha Dr Mheshmiwa moja kwa moja ikaonekana ni PERSONAL.

FP
 
Back
Top Bottom