MwanaF,But mkuu kuna factors hauja consider kwenye argument yako hapo juu as corrects as it is.
1. Mwinyi mkubwa haja muappoint mwanae in any public position. Mifano yako hapo juu ni ya a sitting president kumuappoint ndugu yake kwenye public position.
2. Hakuna ushahidi ulio tolewa so far kwamba Mwinyi mdogo kapata hizo nyumba illegally directly through his father.
Ni kweli baba mtu hakumuappoint mwanaye kwenye public position. Hata Mkapa hajaapoint wanae kwenye public position. Lakini walichofanya hawa jamaa ni kuhakikisha watoto wao wanakuwa katika position ya kupata "vitu" ambavyo isingekuwa rahisi kwao kuvipata kama wazazi wao wasingekuwa marais wa nchi. Hii imeshathibitishwa. Kwa upande wa Mwinyi alimpa mwanae mkataba wa kuingiza magari ya kijeshi. Hilo halipingiki. Pili mwanae alipata nyumba ya national housing bila kulipa chochote. Hilo pia halipingiki. Kuna wakati nilikuwa nimemtembelea marehemu Rutihinda (former gov of BOT) Tumekaa kwa mazungumzo akaja mwanae Mwinyi.Wakaenda chumba kingine kwa mazungumzo. Aliporudi Gavana akatwambia mgeni wake alikuwa amekuja kuomba hela za BOT. Kama huo si ufisadi niambie what is! Hawa walianza zamani jamani, wala msiwatetee.