Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe uko wapi?Asante kaka hao chotara wanaweza kuwapata kwa sh ngapi mmoja mana ninampango wa kufuga ng' ombe hao wa kisasa.
Ahsante kwa nondo hizi... kifanyike nini kuwezesha ng'ombe chotara aongeze uzalishaji... na mmoja anaweza kugharimu kiasi gani?mwenye maziwa mengi ni Friesian ingawa kumpata pure atakusumbua sana maana ni ng'ombe wa nchi za baridi. kwa hapa Tz wanaweza kufanya vizuri Makete na Njombe kwa ujumla au baadhi ya maeneo ya Arusha. wengi waliopo ni chotara wenye uwezo wa kutoa mpaka lita 25 per day under high plane of nutrition! hawa chotara unaweza kuwapata kwenye mashamba ya uzalishaji mitamba (Mabuki MZA, Nangaramo Mtwr, west Kilimanjaro)
Ili waongeze uzalishaji ni kuwalisha balanced diet. Kama huko uliko upo karibu na mtu aliyesoma BSc. Animal Science atakushauri vizuri sana namna ya kutengeneza mchanganyiko wa chakula chenye kulingana na kiasi cha maziwa unachotaka kizalishwe. Au kama uko karibu na SUA jaribu kutembelea idara ya sayansi ya wanyama, viumbe vya majini na nyanda za malisho hapo utakutana na maprofesa waliobobea katika maswala ya uzalishaji maziwa. Mara ya mwisho (2010) bei ya mtamba aliyepandishwa ilikuwa kati ya laki 9 mpaka 1m. Kwa sasa hivi sina bei sahihi!!Ahsante kwa nondo hizi... kifanyike nini kuwezesha ng'ombe chotara aongeze uzalishaji... na mmoja anaweza kugharimu kiasi gani?
Kwa vile uko Kahama nakushauri uende Mabuki Misungwi, hapo utapata ng'ombe wa kukufaa kabisa. Utapata mtamba mwenye mimba kabisa (kama utapenda). Epuka hawa wa kuuziwa mitaani utakamatishwa tasa!!Niko kahama shy
Sio kwa mtu pekee hii ni kasumba ya waafrika uwe na mastaz halafu useme unaenda kufuga ng'ombe utachukiwa mpaka na dada wa bibi yako achilia mbali ndg wengineHili somo ni zuri sana, lakini naona watanzania wengi tunapenda hizi kazi za show off kuvaa matai na masuti ili tuonekane vema lakini kazi kama hizi mhmh tunaona sio hadhi yetu hasa ukiwa na tu degree ndio kabisaaa....mwisho wa siku tunaishi chini ya kiwango....
Shukrani mkuu... huku Wilaya hadi bwan mifugo akutembelee... ni hadi maombi ya upako...Ili waongeze uzalishaji ni kuwalisha balanced diet. Kama huko uliko upo karibu na mtu aliyesoma BSc. Animal Science atakushauri vizuri sana namna ya kutengeneza mchanganyiko wa chakula chenye kulingana na kiasi cha maziwa unachotaka kizalishwe. Au kama uko karibu na SUA jaribu kutembelea idara ya sayansi ya wanyama, viumbe vya majini na nyanda za malisho hapo utakutana na maprofesa waliobobea katika maswala ya uzalishaji maziwa. Mara ya mwisho (2010) bei ya mtamba aliyepandishwa ilikuwa kati ya laki 9 mpaka 1m. Kwa sasa hivi sina bei sahihi!!
Nipo Buhongwa Mwanza,nimeuelewa vizuri ushaur nitakwenda mabukiKwa vile uko Kahama nakushauri uende Mabuki Misungwi, hapo utapata ng'ombe wa kukufaa kabisa. Utapata mtamba mwenye mimba kabisa (kama utapenda). Epuka hawa wa kuuziwa mitaani utakamatishwa tasa!!
Mm pia naplan hii mkuu.hii biashara ukipata breed nzuri ya ngombe umaskini kwa kheri mkuu na unaweza ukafungua hata MILK POINT yako ukaauza milkshake na vitu vingine vya maziwa ya ngombe.Habari wanajukwaa,nataka nianze mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwaajili ya biashara,naomba wenye uzoefu wa ufugaji huu wanisaidie kupata somo na mambo ya kuzingatia wakati wa ufugaji.Pia naomba kujuzwa mbegu bora ni ipi,upatikanaji wake na soko la maziwa likoje.niko Dar es salaam. Asanteni
Hivi kweli hakuna wafunga ngombe wa maziwa humu....Wanabody... Naomba KUJUA aina za ng'ombe wa maziwa na uwezo wao wa kutoa maziwa kwa siku.
Ngoja tupate information kwa kina kutoka kwa wajuzi zitatusaidia sanaMm pia naplan hii mkuu.hii biashara ukipata breed nzuri ya ngombe umaskini kwa kheri mkuu na unaweza ukafungua hata MILK POINT yako ukaauza milkshake na vitu vingine vya maziwa ya ngombe.
Sasa soko tena uambiwe likoje? Kwa nini kwanza unataka kufuga Ng'ombe na si Kuku au si Mbuzi au si mfugo wa aina nyingine ile?Habari wanajukwaa,nataka nianze mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwaajili ya biashara,naomba wenye uzoefu wa ufugaji huu wanisaidie kupata somo na mambo ya kuzingatia wakati wa ufugaji.Pia naomba kujuzwa mbegu bora ni ipi,upatikanaji wake na soko la maziwa likoje.niko Dar es salaam. Asanteni