Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya wapo vizuri sana katika technology ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na nyama.Sasa soko tena uambiwe likoje? Kwa nini kwanza unataka kufuga Ng'ombe na si Kuku au si Mbuzi au si mfugo wa aina nyingine ile?
Maana yake lazima uwe umeona kuna uhitaji wa kufuga Ng'ombe.
So swala la Soko nazani unapaswa wewe mwenyewe kufanya utafiti, Jenga mazoea ya kutafuta taarifa ambazo sio second hand.
Ishu ya Breeds bora na pure Kenya ndo zipo unaweza pata make wale wana breeds si chini ya 9 za Ng'ombe wa maziwa.
TZ hakuna hii mbegu?Kenya wapo vizuri sana katika technology ya ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na nyama.
Wana mbegu walizitoa Germany. Wanaitwa Fleckvieh cattle [emoji202]. Wapo vizuri sana na awashambuliwi sana na magonjwa kama wale Fresian cattle
Mkuu SUA hawawezi kuwa na ng'ombe wazuri wa maziwa?Sasa soko tena uambiwe likoje? Kwa nini kwanza unataka kufuga Ng'ombe na si Kuku au si Mbuzi au si mfugo wa aina nyingine ile?
Maana yake lazima uwe umeona kuna uhitaji wa kufuga Ng'ombe.
So swala la Soko nazani unapaswa wewe mwenyewe kufanya utafiti, Jenga mazoea ya kutafuta taarifa ambazo sio second hand.
Ishu ya Breeds bora na pure Kenya ndo zipo unaweza pata make wale wana breeds si chini ya 9 za Ng'ombe wa maziwa.
Habari wandugu nina M5 ninataka kuingiza katika biashara ya kununua ng'ombe mnadani huko mikoani alafu napeleka dar kwenye mnada wa wa pugu,mwenye ushauri juu ya biashara hii naomba anishauri,anayejua changamoto zake naye anakaribishwa ili nijipange.
Asante brow tunawangoja.WAZO ZURI HILO.......Ngoja waje wajuvi.
Nimetafuta sijaziona ndio maana nimeamua kuanzisha hii.Tafuta thread za biashara hiyo zipo humu
ungesaidia kwa kuweka link ya hiyo threadTafuta thread za biashara hiyo zipo humu
Nenda minada ya huko sehemu ambazo wanatimuliwa kwenye mapori ya hifadhi utapata ng'ombe kwa bei nafuu, mfano mnada wa LUSAHUNGA BiharamuloHabari wandugu nina M5 ninataka kuingiza katika biashara ya kununua ng'ombe mnadani huko mikoani alafu napeleka dar kwenye mnada wa wa pugu,mwenye ushauri juu ya biashara hii naomba anishauri,anayejua changamoto zake naye anakaribishwa ili nijipange.
Yap pia nilitaka kujuazaidi kuhusu soko hapa Dar kwani nisije leta bidhaa ikakaa miezi miwili.Nenda minada ya huko sehemu ambazo wanatimuliwa kwenye mapori ya hifadhi utapata ng'ombe kwa bei nafuu, mfano mnada wa LUSAHUNGA Biharamulo
Poa
Labda kiasi gani mkuu inaweza kutosha?Pesa ndogo sana hio kwa biashara ya Ng'ombe