Mradi wa Ujenzi wa Mji wa Kigamboni ulioanzishwa na NSSF (Dege Eco Village) unapigwa mnada

Yono watafute mtu wa mzuri wa PR,huyo shangazi afanye kazi nyengine
 
Duh bonge la hasara aiseee pesa za pension za watu hizo na wanaishi kwa tabu hao wastaafu
 
Kwa mfano wako huo, una mshauri nini raisi wetu mtukufu?
 
Nakubaliana inabidi tujisahihishe kama taifa ,kutoendeleza Ni Sawa nakufunga kiwanda , kilikuwa kichocheo muhimu kwakukuza mji wa Kigamboni, lazima mashirika yawe Huru kusimamia maamuzi yake.
 

Basi mulokole ndiyo ilikuwa serikali ya Kikwete. Mtu anahongwa pick up anaachia mali za mabilioni, ufisadi wa kijinga na wakukosa elimu
 
Mkuu hapo umenena aiseee,
the project should be transfered to NHC to recouple the inflated Investment money (if sold today).......
Properties like this their values always appriciate with time
Wasifiwanye kama walivyo uza nyumba za serikali zizokuwa prime area mkoa yote tz kwa bei karibu na buree,then leo serikari inapangishia mawaziri na maofisa wengine kwenye nyumba hizo hizo kwa malipo ya dolo
 
Umeongea point,ndio akili ya serikali yetu zero kabisa
 
Sioni mantiki ya kusitisha mradi kisa ufisadi,wameshindwa kukamata waliofisadi mradi uendelee? Miradi mingi iliyoanza awamu iliyopita imevurugwa kisingizio ufisadi,ko kusitisha mradi wa bagamoyo port na kujenga international airport huko cattle ndio maendeleo mnayotuletea? Pambio nyingi za viwanda,generalization policy wapi na wapi
 
Hivi kweli project kubwa kiasi hicho ndiyo udalali wake wanapewa kampuni ya kisanii kama Yono? Kuthibitisha usanii anza kwa kutathimini kilicho kwenye hiyo video clip iliyowekwa. Kwa anaewafahamu Yono hatapinga nilichokiandika.
 
Leo jamaa pale magomeni nusura aropoke akipokuwa anatoa tathmini ya kilichokwamisha ujenzi.............Mara paaaaaaaapp akataja bilioni kumi hazijatosha mara ujenzi huu ulikuwa sambamba na kule ambako watu walihoji .........,mara ghafla nondo zimeshoot toka milioni moja mpaka milioni mbili ndani ya miezi michache kwa tani moja ileile.

Dunia simama kidogo nichimbe dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…