kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Kwann usikamilishwe kama ilivopangwa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakufanya ni kulipa helaMimi nautaka huo mradi je nifanyeje?
Kwann usikamilishwe kama ilivopangwa???
Teh,Wameamuriwa wauze wajenge viwanda
hawana mtaji tena kwa kuwekeza pale, kumbuka soko limehamia dodomaWamegwaya nini? Kama ufisadi si wangewajibishana tu, na mradi ukabaki mikononi mwao?
Kwa mfano wako huo, una mshauri nini raisi wetu mtukufu?Mie niliwahi kuwa na Vijana wawili kwny Duka langu la dawa 'Pharmacy '
1) Mmoja alikuwa anauza Mpaka dawa za laki 3 kwa Siku lakin nikapewa taarifa za Siri na mtu Mmoja kuwa huwa ananiibia kwa kupandiaha bei sana na cha juu anachukua
Akaniletea Kijana Mmoja Mlokole Fulani hivi haibi ni Mtu wa Maadili sana lakin mauzo yalishuka mpaka karibu na elf 60 kwa Siku akiuza sana,
Baada ya kutafakari mustakbali wa Biashara yangu nilimrudisha Yule 'Mwizi' aendelee kuniibia lakin Bishara yangu nami iende vizuri.
Mie niliwahi kuwa na Vijana wawili kwny Duka langu la dawa 'Pharmacy '
1) Mmoja alikuwa anauza Mpaka dawa za laki 3 kwa Siku lakin nikapewa taarifa za Siri na mtu Mmoja kuwa huwa ananiibia kwa kupandiaha bei sana na cha juu anachukua
Akaniletea Kijana Mmoja Mlokole Fulani hivi haibi ni Mtu wa Maadili sana lakin mauzo yalishuka mpaka karibu na elf 60 kwa Siku akiuza sana,
Baada ya kutafakari mustakbali wa Biashara yangu nilimrudisha Yule 'Mwizi' aendelee kuniibia lakin Bishara yangu nami iende vizuri.
msumari kilo moja tu unakuta wamenunua laki 1....
hapo wame inflate bei za vifaa si mchezooo
Mkuu hapo umenena aiseee,Huu mradi ili uwe na tija kwa taifa badae nadhani serikali ingefanya utaratibu wa kuhamisha umiliki kutoka NSSF kwenda NHC.
Wangeangalia stahiki za NSSF na kuwalipa kabla ya kukabidhiwa NHC kuliko huu udalali unaotaka kufanyika chini ya usimamizi wa kampuni ya udalali YONO.
Nina imani sana na utendaji wa ndugu Nehemiah Mchechu ambaye ni mkurugenzi mkuu wa NHC.
NHC wanauzoefu wa miradi mikubwa kama hii kwa hiyo chini ya ndugu Nehemiah Mchechu sina shaka mpango wa ule mji wa kisasa ECCO DEGE VILLAGE mambo yatakaa sawa
Umeongea point,ndio akili ya serikali yetu zero kabisaHuyo Mama wa Yono wa pili kama akili zake sio nzuri kidogo anataka diaspora wa Kitanzania wanunue Nyumba ni kama mtu asiyesikiliza habari za nchi hii... Akamuulize kwanza Lukuvi alisema nini kuhusu hao Diaspora... Walivyokuwa navyo mwanzo wamenyang'anywa sasa anawaambia wanunue ili wanyang'anywe tena? ni uchizi kabisa huu...
Asante mkuu kwa kunijuza.hawana mtaji tena kwa kuwekeza pale, kumbuka soko limehamia dodoma