Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

Kuwa na heshima mtoto wa kiume kusema maushungi. Ukitaja jina lake kuna shida kwani! Angelikua wa imani yako ungesema bichwa wazi?
We mfia dini Jina baya uliloona ni maushungi tu ila la jiwe halina shida kwa vile ni mgalatia eeh?
 
Navyojua mimi, Wengi hulitamka neno "jiwe" kwa maana ni jiwe haswaa hakuwa anapelekeshwa wala kuendeshwa kama gari bovu, kama siko sahihi waje wadau wanisahihishe.

Sasa wewe unavyosema maushungi huoni kuwa unamkosea heshima na kumdhalilisha mama huyu!!!! Kubali umekosea kijana, hata kama ni muisilamu but jaribu kuheshimu imani yake. Utakuwa umenielewa.
 
Hongera Mama Samia, umeonyesha wewe ni kiongozi hutetereki. Kipande hiki Ni credit kwako

Hongera JPM kwa kuanza na kipande Cha Dar - Moro+ Makutopola, mama anamalizia hivi Bila kutetereka.

Hongera Jakaya kwa maono,upembuzi yakinifu na kuandaa mpango mkakati.
Ni Magufuli aiseee hata mkopo alitafuta yeye rejea ziara ya waziri wa mambo ya nje wa china kule chato
 
Navyojua mimi, Wengi hulitamka neno "jiwe" kwa maana ni jiwe haswaa hakuwa anapelekeshwa wala kuendeshwa kama gari bovu, kama siko sahihi waje wadau wanisahihishe.

Sasa wewe unavyosema maushungi huoni kuwa unamkosea heshima na kumdhalilisha mama huyu!!!! Kubali umekosea kijana, hata kama ni muisilamu but jaribu kuheshimu imani yake. Utakuwa umenielewa.
Umelichukulia positively jina jiwe ndio maana huoni tatizo. Ungechukulia positively maushungi usingeona tatizo.
 
Kuwa baya au zuri ni wewe umelichukuliaje.

Kwangu mimi nalichukulia kama m2 shupavu asieyumbishwa.

Sasa kwa mama samia umuite "MAUSHUNGI" huoni kuwa ni kosa kumuita hivyo!!! Angemuita Jina lake kuna shida gani!!!! Au unamkingia kifua kwa kuwa wote wa imani moja!!! Kuweni serious bwana, Wako pia wakristo wanaojitambua.
 
Navyojua mimi, Wengi hulitamka neno "jiwe" kwa maana ni jiwe haswaa hakuwa anapelekeshwa wala kuendeshwa kama gari bovu, kama siko sahihi waje wadau wanisahihishe.

Sasa wewe unavyosema maushungi huoni kuwa unamkosea heshima na kumdhalilisha mama huyu!!!! Kubali umekosea kijana, hata kama ni muisilamu but jaribu kuheshimu imani yake. Utakuwa umenielewa.
Kwa hiyo neno maushungi ni tusi mzee?
 
Nieleweshe jina la jiwe mkuu lina maana mbaya or zuri? Hapa tuko kuelimishana inapotokea mtu amikosea.
Hata wewe utueleweshe neno maushungi lina ubaya gani? Mie maushungi nalichukulia positive kama ni mwanamke mwenye maadili asiyekaukiwa na ushungi kichwani mwake everyday!
 
Lina ubaya katika kulitamka. Ana majina mengi mazuri,,

1 Mh rais
2 Mama Samia
 
Back
Top Bottom