Kwa mtazamo wangu sioni umuhimu wowote wa Ujenzi wa kipande hicho cha reli cha kutoka Mwanza kwenda isaka.
Serikali ingemaliza kwanza kipande cha kutoka dar hadi rusumo ambacho kwa mtazamo wangu ikimalizika hiyo Njia itakuwa na mizigo mingi ya kusafirisha kulipo hiyo mwanza kwenda isaka.
Kwa mtazamo wangu ni Mara elfu kungetengenezwa reli ya sgr kuanzia mtwara kupitia rukwa hadi DRC Congo.
Kujenga reli kutoka mwanza hadi isaka ni mradi wa hovyo Kama ule Ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa chato.
It is going to be a white elephant project .