Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

Kumbe una tatizo na Imani za watu? Ni maoni yangu simkingii mtu kifua tena sehemu ambayo ni kama vivuli vinajadiliana.
 
Kumbe una tatizo na Imani za watu? Ni maoni yangu simkingii mtu kifua tena sehemu ambayo ni kama vivuli vinajadiliana.

لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.


Naheshimu imani ya mtu, hapo ilikuwa ni kuwekana sawa mzee.
 
Hata kama co tusi mkuu, but kwanini umuite ivyo wakat ana jina lake!!! Labda kwako unaona ni sawa pengine hujakubaliananae katika uongozi wake ama nini!
Ni kwel ktk uongozi wake sikubaliani na mengi lkn mbona husisitizi jiwe nimuite Jina lake ila huyo tu maushungi?
 
Unajuwa unachojibu? Nimekuuliza Nini sababu imepelekea MAGUFULI wamuite JIWE?
Unajua ni kwa sababu gani samia tunamuita maushungi? Magufuli kuitwa jiwe ni kwa sababu hakuwa muumini wa utawala wa sheria.
 
Kwa mtazamo wangu sioni umuhimu wowote wa Ujenzi wa kipande hicho cha reli cha kutoka Mwanza kwenda isaka.
Serikali ingemaliza kwanza kipande cha kutoka dar hadi rusumo ambacho kwa mtazamo wangu ikimalizika hiyo Njia itakuwa na mizigo mingi ya kusafirisha kulipo hiyo mwanza kwenda isaka.
Kwa mtazamo wangu ni Mara elfu kungetengenezwa reli ya sgr kuanzia mtwara kupitia rukwa hadi DRC Congo.
Kujenga reli kutoka mwanza hadi isaka ni mradi wa hovyo Kama ule Ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa chato.
It is going to be a white elephant project .
 
Ni sahihi kama ni mtazamo wako,
 
Tulia dawa ikuingie, kandarasi yupo site

Wewe utakuwa punguwani tambua pia kuna mkandarasi yupo site anajenga hoteli ya nyota 5 huko bugiri chato.
Tambua kwamba hayo ni matumizi mabaya ya fedha ya umma .
Pumbavu mkubwa wewe
 
Ni mtizamo wako kwa kweli, hatujabisha Boss
 
WEWE NDO UNAMAWAZO YA KISENGE..YAANI UNAZANI UTAKAMATA MIZIGO YA UGANDA BILA KUKENGA MWANZA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…