Mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa Mwanza - Isaka waanza kwa kasi

Sio Uganda tu mpaka Southern Sudan
ukiwa na reli efficient kufikisha mzigo mwanza bado mnaweza kugawana na kenya mzigo wa uganda..lakini pia utasaidia mizigo ya Tz kwwnda uganda kuwa Rahis zaidi
 
ukiwa na reli efficient kufikisha mzigo mwanza bado mnaweza kugawana na kenya mzigo wa uganda..lakini pia utasaidia mizigo ya Tz kwwnda uganda kuwa Rahis zaidi
Ni kutokujua , competitor wetu ni Mombasa, Usipomkamata Uganda na Southern Sudan Mkenya atapumua sanaaa
 
Hizi kambi zikiisha matumizi ya kukaliwa na vibarua na wengine, mradi ukikamilika mzigeuze shule tafadhari [emoji41]
Inawezekana ila zitahitaji modification ya hali ya juu sana maana majengo yake yana vyumba vidogovido sana, yameishia usawa wa lenta wa nyumba ya kawaida.
Yatafaa sana kwa zahanati, na vituo vya afya japo uhitaji wa eneo husika (shule au zahanati) uzingatiwe pia
 
[emoji23][emoji23] Kumbe ni tuvyumba sio vyumba! Basi ziwage sello tu za waharifu au unasemaje bro..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…