Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Usha Ushahidi una changamoto gani?

Au watamuogopa tu Nyundo kwa vile ni mwanajeshi.
 
Bwashee kuna Vyeo vingine vimejificha 😂😂
Nishakuelewa.
Kuna ile mikwara ya chinichini ya kimyakimya.
"Oya mwanangu kausha huyo mtu kaa naye mbali mkaushie sasa wewe jifanye kimbelembele nikutoe kwenye hicho kitengo chako,baadae unakuwa mpole"😀😀😀
 
mtuhumiwa wa 5 kati ya 4 waliofikishwa mahakami kayeyukia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…