Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Usha
Au watamuogopa tu Nyundo kwa vile ni mwanajeshi.
Ushahidi una changamoto gani?ACP hana kinga ya kushtakiwa hivyo anashtakika vzuri sana.
Ubaya ni kwamba wanaotakiwa kumshtaki wapo chini yake ndo maana wao wanapata tabu kumshtaki mkubwa wao.
Ila katika sheria ana kesi ya kujibu kama kweli ni yeye amewatuma, kingine jamii inatakiwa kujua kuwa kuplan kutenda kosa au kusaidia kosa kutendeka nako ni kosa.
ALL IN ALL katika Jicho la Sheria, NYUNDO NA WENZAKE WATAACHIWA HURU KWANI USHAHIDI UNA CHANGAMOTO NA HII KESI KAMWE JAMHURI HAIWEZI SHINDA.
Niko Paleeee...
Au watamuogopa tu Nyundo kwa vile ni mwanajeshi.