Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
He got no Class.Sema jamaa kwenye hiyo tweet yake katumia maneno magumu ambayo ni street tu yanaweza kuonekana ya kawaida.
Naombeni namba ya simu ya mume wake nikamfariji.
Walipewa kandarasiUnadhani wale wabakaji walitumwa au waliamrishwa? 🐼
Hana mume kweli...?
Na wakamnyima🤣🤣🤣🤥Bint wa watu aliomba hadi maji
Hadi huruma,ndo wakawa wanaongezea midinyo kila kona aaaaahNa wakamnyima🤣🤣🤣🤥
Risasi zote ziliingilia kifuani kutokea mgongoni at a very close range hii ndiyo kimarekani tunaita kumkoma nyani .Unajua namna Kombe alivyouawa?
Alikuwa amenyoosha Mikono Juu kujisalimisha
Bongo hakunaga kisichowezekana 🐼
Ni nadra sana kutekeleza uhalifu wa kutumwa pasipo kushirikisha mawasiliano ya simu kwa kuwa hawakufikiria itasanuka.Sijui sheria zipoje lakini ,,, kama mimi ndiyo huyo afande nawakana wausika ,, nasema hivi
" Mimi hao watu siwajui na wala sihusiki na walichofanya kama kuna ushahidi wowote ambao wanao juu ya wao kunihusisha mimi na walichofanya basi waulete na mimi nipo tayari kushirikiana na serikali juu ya chochote itakacho itaji ili kukomesha vitendo vya ubakaji kama vilivyofanywa na watuhumiwa asante "
Wote ni mishangaziNaambiwa hilo jimama na theopista wapo group moja na wengine wengi wengi...
Lile lishangazi RPC lililotenguliwa jana kwa kutaka kumfichia aibu ASP.Theopista ndio nani
KweliHatupendi kupindisha haki.
Kwenye Biblia pia limetamkwa kama lilivyo kwa jinsi Mungu anavyochukizwa na tendo hiloSema jamaa kwenye hiyo tweet yake katumia maneno magumu ambayo ni street tu yanaweza kuonekana ya kawaida.
Ulaya mwathirika anaitwa Jane Doe kwa msichana kwa mwanaume anaitwa John DoeUlaya hakunaga kufichaficha🐼
Wanawake waliojiachia hivyo yani wamejizira mtumbo mtumbo...minyama uzembe kibao...wana wivu sana na roho mbaya hasa wakiwa kwny kada kama hizo...Bonge la Jimama, au ni Lishangazi!