Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Mrakibu Msaidizi wa Polisi Fatuma Kigondo afunguliwa shtaka la kutuma vijana kufanya ukatili kwa binti wa Yombo

Unajua namna Kombe alivyouawa?

Alikuwa amenyoosha Mikono Juu kujisalimisha

Bongo hakunaga kisichowezekana 🐼
Risasi zote ziliingilia kifuani kutokea mgongoni at a very close range hii ndiyo kimarekani tunaita kumkoma nyani .
 
Sijui sheria zipoje lakini ,,, kama mimi ndiyo huyo afande nawakana wausika ,, nasema hivi
" Mimi hao watu siwajui na wala sihusiki na walichofanya kama kuna ushahidi wowote ambao wanao juu ya wao kunihusisha mimi na walichofanya basi waulete na mimi nipo tayari kushirikiana na serikali juu ya chochote itakacho itaji ili kukomesha vitendo vya ubakaji kama vilivyofanywa na watuhumiwa asante "
Ni nadra sana kutekeleza uhalifu wa kutumwa pasipo kushirikisha mawasiliano ya simu kwa kuwa hawakufikiria itasanuka.
 
Back
Top Bottom