Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

hii sasa ni vichekesho, hawa wamehukumiwa kwa kutoa ushauri mbaya kwa serikali na kuisababishia hasara, mna uhakika gani kama huko nako hawataharibu? Bora wapewe kazi zingine, sio zile zile walizoharibu na kusababisha wafungwe in the first place!
 
Back
Top Bottom