Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

Mkapa alitoa mapendekezo ya kuachiwa watu hawa alipomtembelea Magufuli ikulu mwezi January, alijua anasimamia nini, anajua anasimamia nini na anajua atasimamia nini! Zao la Magufuli ni mpambano kati ya Kikwete na Mkapa!!
Hivi kuna ukweli wowote wa mkapa kuwa na uhusiano wa kifamilia na mramba?
 
I wish wafungwa wote wangekuwa wanapata the same treatment. Halafu ndo sasa hivi tunalagaiwa na mahakama ya mafisadi! Watapewa fast track kama hawa. Vifungo virefu vya gerezani si kwa mafisadi bali malofa.
Hiyo ndio hali halisi ya maisha ya mtanzania kwa sasa
 
Kwa hali hii sitashangaa Mahakama ya mafisadi itakuja na gereza lake litakuwa na Wi-Fi swimming pool na sehemu za kufanyia michezo mbali mbali na mzoezi bar kiwanja cha ndege massage room na vitu vyote na litajengwa karibu na ufukwe wa bahari
Utaambiwa huko ndio kwenda na wakati
 
Ndio maana bado sijaelewa maana ya tungo "Hapa kazi tu".
Nimeamua kuipa kipimo cha miaka mitano".
Mkuu wacha kuumiza kichwa bure,hayo ndio mashahiri tumesha yazoea tulianza na maisha bora kwa kila mtanzania,kabla ya hapo ilikuwepo ukweli na uwazi
 
Upumbavu uliopitiliza. Unaleta picha gani katika utoaji wa haki na hukumu kwa wafungwa? Sijui hii laana tumepewa na nani.
Olmert wa Israel kapigwa 19months in prison, the former prime minister..can you imagine!!
Mkuu I wish hizo ngumi zako za hewani zingekuwa zina wapata walengwa wasingerudia
 
Upumbavu uliopitiliza. Unaleta picha gani katika utoaji wa haki na hukumu kwa wafungwa? Sijui hii laana tumepewa na nani.
Olmert wa Israel kapigwa 19months in prison, the former prime minister..can you imagine!!

Binadamu wote tuko sawa,lakini watu wote hawako sawa.Kaka hawa PESA yao ndiyo inaongea lugha zote hapa duniani.Jaribu wewe utaozea Keko
 
kama ni ivyo basi wataalamu wote magerezani watolewe ili wasaidie jamii kama hawa au hi ni special kwa hawa tu kweli serikali hii inapambana na ufisadi
 
Wana jamvi wa JF, hasa mlioko Dar es Salaam, napenda kujua kama Mawaziri wa Zamani ndugu Yona na Ndugu Mramba WANAENDELEA na "adhabu" ya kufanya usafipale Hospitali ya Palestina, Sinza. Iliripotiwa kwa nguvu nyingi SANA adhabu ilipoanza. Kwa sasa KIMYA! Ama siyo habari tena?
 
Mkuu Mbona haikupita wiki adhabu ikabadirishwa, walipewa adhabu ya kuwa washauri ofisini hapo Palestina hospital, labda uulize kama wanaendelea kwenda kushauri na suti zao.
 
Back
Top Bottom