Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

Mramba na Yona waongezewa adhabu. Sasa wapewa kazi za ofisini!

Asbuhi; "wafanya usafi"
mchana; "ma consultants"
Very interesting!
 
Mijizi inapewa ofisi?

Kuwaachia hawa Mramba na Yona kuwa wafungwa wa nje kunapeleka wrong message kwa mahakama na wananchi kwa ujumla; kwa mahakama inaonesha kuwa hukumu zao hazina maana kwasababu serikali inaweza kuzibadisha ipendavyo; kwa wananchi itaonekana kuwa kuna double standards kuwa wanaoiba mabilioni ya fedha za umma hawapewi adhabu kali kama wale wanoiba kuku!! Hii itapunguza ari ya wananchi kumuunga mkono Rais katika vita yake dhidi ya mafisadi.
 
Kwa hali hii sitashangaa Mahakama ya mafisadi itakuja na gereza lake litakuwa na Wi-Fi swimming pool na sehemu za kufanyia michezo mbali mbali na mzoezi bar kiwanja cha ndege massage room na vitu vyote na litajengwa karibu na ufukwe wa bahari
Mwenye jukumu la kuanzisha hiyo Mahakama ni fisadi Mwakyembe, ambaye hata yeye inamuhusu ha haaaa
 
Mwenye jukumu la kuanzisha hiyo Mahakama ni fisadi Mwakyembe, ambaye hata yeye inamuhusu ha haaaa
Hapo ndipo napoita majipu visasi naona vikiisha maigizo yatakuwa vichekesho siku hizi wazir kumfukuza mlinzi kazi ni kitu cha kawaida kukagua daftari la kusaini getini nayo wakaona kazi yao sasa sijui ndio kuendana na kasi kuko hivi
 
Wahalifu wanakuwa consultants, aibu tupu. Hata mimi nipeni hayo mabilion halafu nikatoe ushauri bire
 
Mjue hao wote ni wataalamu wa mambo ya Fedha?

Utaalamu wao wa mambo ya fedha ulilifanyia nini taifa hili?! Kama umeuliza kwa maana ya kutaka kukosoa maoni ya wanajukwaa inabidi ufikirie tena, utaalamu wa mtu hauna maana kama utakuwa ni zao la maangamizi na ufisadi kwa wanyonge! Watu hawa wanafanya stage performance tu, next tutasikia wamefukuzwa wasiishi tanzania. Kwa maoni yangu watu hawa, na wengine wa aina hii wanastahili adhabu ya juu kabisa katika orodha ya adhabu zinazoweza kutolewa.
 
Kwa taarifa yako trna ya kusikitisha hapo hakina hukumu hapo..... Ni maigizo tu
 
Watanzania Bwana!! Eti Kazi wanaita Adhabu!!!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahahhahahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahhaaaahahaahahaahahahahah
Bhwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................................
Hiki kicheko kinaendelea mpaka watakapo badilishiwa tena adhabu.
 
Hahahahaha!

Hii nchi bana! Naona Mkapa sasa anaendesha nchi kupitia kijana wake Magufuli!

Sasa hawa wezi wamegeuka ma consultants...?
Mkuu kwani hujuwi kuwa nchi sasa inaongozwa na Mkapa kwa mlango wa uwani hawa muda so mrefu utawakuta makatibu wakuu kama sio mawaziri
 
Majambazi wa kutumia silaha , wangepewa kazi ya kulishauri jeshi letu, just thinking loud!!!
 
Watawaongezea pia na adhabu ya kuwekewa full viyoyozi na misosi ya maana
 
Back
Top Bottom