jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,404 Reaction score 4,973 Apr 4, 2016 #141 hii sasa ni vichekesho, hawa wamehukumiwa kwa kutoa ushauri mbaya kwa serikali na kuisababishia hasara, mna uhakika gani kama huko nako hawataharibu? Bora wapewe kazi zingine, sio zile zile walizoharibu na kusababisha wafungwe in the first place!
hii sasa ni vichekesho, hawa wamehukumiwa kwa kutoa ushauri mbaya kwa serikali na kuisababishia hasara, mna uhakika gani kama huko nako hawataharibu? Bora wapewe kazi zingine, sio zile zile walizoharibu na kusababisha wafungwe in the first place!
J jjmm JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 1,221 Reaction score 365 Apr 4, 2016 #142 mwembemdogo said: Wale ni viongozi wetu wanatakiwa wasamehewe Click to expand... Mjinga wewe