TANZIA Mratibu wa zamani wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga afariki Dunia

Hahaha.........Mimi nilikuwa Sina mambo mengi Mjukuu, nilikuwa nimetulia na Bibi yenu tu 🤗
Wewe unavyopenda vitumboua 😹😹

Kuna siku ulinichekesha ulivyomwambia mau eti kitomboua chake kikubwa… 🤣 babu ulikiona wapi?
Hivi babu unalewaga wanzuki eehh?? Yani nilicheka mjinga sana wewe.!!
 
Hakika mungu ni muweza
 
Nyie wa miaka hii hamjui kula na vipofu

Hamchelewi kutuma picha ya sponsor ili kuwatambia mabesti zenu jambo ambalo Wazee wengi hatupendi 😜
😹😹😹 Kwahiyo sponsor hatakiwi kupostiwa??

Haya hatuwaposti tena, Hilo litafanyiwa kazi..!!
Lete connections sasa wajukuu wajichukulie pesa..!! 😹
 
Huyu jamaa acha apumzike..aliwala sana mamiss enzi zake..walikua wakimuita uncle..walikua na shobo sana wakiamini watapata upendeleo..
 
Wewe unavyopenda vitumboua 😹😹

Kuna siku ulinichekesha ulivyomwambia mau eti kitomboua chake kikubwa… 🤣 babu ulikiona wapi?
Hivi babu unalewaga wanzuki eehh?? Yani nilicheka mjinga sana wewe.!!
Hahaha........ huenda Siku hiyo nililewa tu Mjukuu

Hata hivyo Kwa umri huu hao mabinti wanaweza kunipandisha sukari na pressure tu Mjukuu 😜
 
Mwislamu hatakiwi kushindanisha wrembo duniani kwa sababu anatakiwa afanye juhudi apate mahurulaini huko akhera basi.
Hawa wanaoitwa mamiss wengi wao huwa ni wabaya kuliko wanaopatikana majumbani
 
Ulevi wa dini za wazungu na waarabu unafubaza uelewa wa wengi,eti hijabu,upuuzi mtupu,laiti ungekubali kuruhusu uelewa kidogo tu Kwa akili Yako ungetambua kuwa hizi dini za waarabu na wazungu ni utapeli,Wala huyo Mungu hazimhusu kabisa
 
Kwakweli mlifaidi sana.
Isijekuwa mlifaidi mpaka vimelea😥

Kipindi hicho hata kuungwa zilikuwa haziungwi wala kufukizwa, zilikuwa nachurali😁.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…