Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,980
- 8,321
Mwambie tu ukweli mkeo au unasubiria shemegi yako amwambie dada yake kuwa wewe ndie ulie mbaka na kumuanzisha huo mchezo?.Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake?

Huyo Janja ni mtu mzima, means alishapevuka, na alijua alichokua anakifanyaa.Janja alikuwa na 17
Anko kwenye 25
hakika ni jambo gumu sana kulibeba, kuna kibabu cha miaka 65 nakifahamu kinatuhumiwa kuwa na uhusiano na kabint ka form 1, kibaya zaidi kakaharibu idara zote mpaka huko nyuma hamna break, niliposikia niliongea mpaka watu wakasema nimekuwa mwehu maana hata njian nilikuwa naongea mwenyewe, nilijaribu kuvaa viatu vya mzazi wa hako kabint hakika vilibana kwel kwel.Yasikie tu kwa wengine lkn ikiwa kwa ndugu zako ndo utajua inavoleta stress
hakika mkuu, haya mambo ni magumu sana kubebaKabisa, kichaa anachekesha kama hatokei kwenu.
So Rasmi una wake wawili.Yaani umeoa Mtu na Kaka yake....Hapo sina cha kukushauriHabarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi katiš
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka
Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka
Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo
Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"
Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?
š¤Msaada tafadhariš
...Pole. Tatizo ni kuficha uozo w mdogo wake au ni kuuweka wazi na kujitafutia Dawa ?Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi katiš
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka
Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka
Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo
Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"
Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?
š¤Msaada tafadhariš
Yana athari gani?Hawa vijana wanafanya mambo ya ovyo bila kutathimin athari zake mbeleni