mkokamoto
JF-Expert Member
- Jan 2, 2024
- 1,313
- 1,671
Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi katiš
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka
Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka
Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo
Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"
Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?
š¤Msaada tafadhariš