Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃

Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka

Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka

Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo

Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"

Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?

🤖Msaada tafadhari🙏
Muunganishie dada wa kazi,mpe assignment kwamba ampe mzigo Shemeji Yako,ampige pige mpk apate kujua utamu wa papuchi awe mbali na huo uchoko! Maana anaweza kukusingizia we ndo umemuharibu
 
Angekuwa yuko tayari mbona muhimbili tiba zipo sana tu sema Sasa inaonekana anaipenda hiyo tabia
Kifupi hapo kwa familia ni maumivu hadi siku atakapokufa
Kumbe tiba ipo vipi inaitwaje? Na inaweza gharimu pesa ngapi? Niunganishe na wataalam hao tafadhari🙏
 
Huyo atawaambukiza hiyo tabia watoto wako kitendo Cha kuendelea kuishi Nae under one roof kitapelekea watoto wako + watoto wa jamii yako waone kuwa Ulegevu legevu wake ni kitu Cha kawaida mwisho wa siku na watoto wenu nao wataanza kuwa kama huyo dogo,

So muondoe katika hiyo nyumba Aisee
 
Back
Top Bottom