hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Mwanaume rijali Hawezi kufanya huo upumbavu hata roboSkuhiz ukiona mtoto wakiume anatengeneza content za kujifanya mwanamke ujue imeisha hiyo, ameshaleft kitambo.
Mwanaume rijali Hawezi kufanya huo upumbavu hata roboSkuhiz ukiona mtoto wakiume anatengeneza content za kujifanya mwanamke ujue imeisha hiyo, ameshaleft kitambo.
Una watoto hapo nyumbani kwako?Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi katiš
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka
Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka
Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo
Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"
Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?
š¤Msaada tafadhariš
Mkuu inakuje UNAMFUATILIA hivyo Shemeji yako tena WAKIUME kama wewe?Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi katiš
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia mashaka
Baada ya maoni mbalimbali humu nikafikia muafaka wa kumuuliza man to man anipe maelezo yanayoeleweka
Majibu niliyopata yamenivunja moyo anadai kitambo tu tokea sekondari yuko kwenye izo mambo huku akidai eti sikuizi mbn kawaida tu wengi wanafanya ivo
Shida sijamwambia dada ake na tangu jana kaanza kunishitukia baada ya kumpa shoo mbovu usiku leo yenyewe morning glory nimemnyima muda huu kanitumia sms " mume wangu kuna tatizo gani? Sio kawaida yako kuwa hivi niambie tu tutalitatua usikae kimya!!"
Muda huu nawaza nimwambie ukweli kuhusu mdogo ake? Na je akijua kuwa tushampoteza dume si ndo itamletea mawazo zaidi? Pia nawaza huyu dogo nimfukuze ila tatizo namfukuza vipi ilihali likizo ndo inaanza chuo kinafunguliwa mwezi wa kumi na moja?
š¤Msaada tafadhariš
Hatari sana! Shida tokea sekondari yawezekana keshawaharibu na wengine kitambo tuUna watoto hapo nyumbani kwako?
Kawaida ya watu waliojiharibu hutamani na wengine pia waharibikiwe.
Je,uko tayari kuharibikiwa na wewe?
Watakao kuwa wanakuja kufuata kisamvu hapo nyumbani kwako hata mkeo hawata muacha salama,watamtumia tena mbele na nyuma.
Vipi,uko tayari kuyavumilia?
CHAGUA MAISHA.
Hii inahusianaje na mada yako kwenye uzi?
Too sad sasa kuna hawa wanajiita mashoga mikazo hawa huwezi wajua lakin wapo wengi kuliko hawa wenye girlish behavior...unakuta limwanaume limekaza kijeba mpaka una sema kidume si hiki halafu unakuta linakuomba ulikaze au unagundua wanalikaza.Skuhiz ukiona mtoto wakiume anatengeneza content za kujifanya mwanamke ujue imeisha hiyo, ameshaleft kitambo.
Hivi shemeji yako akiwa shoga ndio ushindwe kumkaza dada yake?
- Hii thread ni mwendelezo, Zingatia neno "Mrejesho".
- Ili kuelewa anzia hapa: Msaada tafadhari: Tiktok inamfundisha shemeji yangu ushoga
Akiondoka hapa ataenda kuishi kwingine na bado atakuwa na tabia hiyo hiyoHuyo atawaambukiza hiyo tabia watoto wako kitendo Cha kuendelea kuishi Nae under one roof kitapelekea watoto wako + watoto wa jamii yako waone kuwa Ulegevu legevu wake ni kitu Cha kawaida mwisho wa siku na watoto wenu nao wataanza kuwa kama huyo dogo,
So muondoe katika hiyo nyumba Aisee
Nashukuru kwa ushauri mzuriHuwa nashangaaga hii Hali inatokeaje ni vishawishi, njaa ,kupenda vya mteremko au kitu gani kinachopelekea Hali Kama hii
Mkuu pole sana lakini nadhani huyo mpaka umtafutie watu wa kumjenga kisaikolojia maana tayari kashaharibika kisaikolojia
Sidhani kama utaweza š¤£š¤£Akiondoka hapa ataenda kuishi kwingine na bado atakuwa na tabia hiyo hiyo
Mhimu nimsaidiaje aache ushoga?